BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Nawe pia ubarikiweTuwe na siku njema
Nawe pia ubarikiweTuwe na siku njema
Asante kwa UF na Dondoo za BBCPamoja mkuu
Umesomeka mdauAisee! Ni kiungo cha aina yo yote kinapokuwa transplanted? May be it is a moot question kwa vile hatujaweza bado kufanya transplant ya ubongo. Kuna mambo mengi bado hatuyajui kuhusu miili yetu, viumbe wengine na malimwengu kwa ujumla.
Kama jana hapa nilikuwa nawasikiliza wanasayansi wakijaribu kueleza maji yaliyojaza robo tatu ya uso wa dunia yalitoka wapi aisee ni kizungumkuti...
Ubarikiwe mumyHbr ya asubuhi
Mie nazunguka na powerbank nayo nimechajia kazini!!!! Tanesco wala hawana habari na sisiKuna mambo yanaudhi
Nimechaji simu kwenye gari
Ndo nimeingia nakuta kumepoa inaonyesha wengi tupo gizani
......
Za uzima mkuuHabari za asubuhi bandugu..
82% of what? Being the basic function unit of the body doesn't necessarily mean that cells can also store memories. Think about your lovely Shunie. Now imagine that her image is stored in other cells of your body (may in your leg or D) instead of the limbic system of your brain. The implications here for neuroscience and particularly the treatments of debilitating brain diseases like dementia, Parkinson's and Alzheimer would be huge!That's true
About 82% can be retained ...remember cell being regarded as basic unit function
Flat screen ndo mpango mzima. Vyura watu wameshafanya tafiti na kugundua kwamba hawana nyota ya maendeleo...![]()

MhSina mke wala mtoto, njoo tuyaanze maisha!
Hivi walikuwa wanatumia madawa gani
Asante mkuu ShululuSina la ziada tukutane tena kesho Nawatakieni siku njema
Thanks bitozEnd![]()
......
Mungu awabariki Ramadhan KareemMfungo 19 leo, Ramadhan Kareem
Chogo mama. Mambo ya sijui maendeleo tutapambana huko mbele ya safari...We unapenda flat au chogo?
Ni shida, ila cha ajabu ni kwamba kila kipindi cha jua na mwezi yanapokuwa upande furani huwa kuna shida sana baharini, na hata wanasayansi wanatafuta connection ya mwezi na bahari na jua na bahariAisee! Ni kiungo cha aina yo yote kinapokuwa transplanted? May be it is a moot question kwa vile hatujaweza bado kufanya transplant ya ubongo. Kuna mambo mengi bado hatuyajui kuhusu miili yetu, viumbe wengine na malimwengu kwa ujumla.
Kama jana hapa nilikuwa nawasikiliza wanasayansi wakijaribu kueleza maji yaliyojaza robo tatu ya uso wa dunia yalitoka wapi aisee ni kizungumkuti...
Asante mama mchungajiAsante mkuu Shululu
1928 - Ernesto Che Guevara anazaliwa.
Ni daktari, mwanaharakati na mwanamapinduzi wa Argentina.
Mmoja kati ya viongozi wa Mapinduzi ya Cuba ya 1959.