shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Nzuri mtoto wa Wenger, karibuHabari za asubuhi wapendwa wangu
Nzuri mtoto wa Wenger, karibuHabari za asubuhi wapendwa wangu
Usiyatoe kabisa![]()
![]()
![]()
![]()
kumbe cyatoi
Namsubiria nyoka mwenyewe na makengeza yake akiguswa![]()
hii ya makanikia nayo haiwaachi watu salama
Shukrani mkuuKatika dondoo za bbc
Mwanasheria mkuu wa Marekani Jeff Sessions amepinga mbele ya kamati bunge la Seneti kuwa alifanya njama na Urusi katika uchaguzi wa mwaka jana ili Trump aingie madarakani.
Wakati leo ikiwa ni siku ya uchangiaji damu duniani. Nchini Tanzania kumekuwa na kampeni ya kuhamasisha raia wa nchi hiyo wachangie damu ili kuokoa maisha ya wagonjwa katika hospitali za nchi hiyo.
Licha ya sekta ya kilimo kuwa uti wa mgongo wa uchumi wa Uganda baadhi wanasaikosoa serikali ya taifa hilo kwa kutotilia maanani sekta hiyo.
Watu watatu waliokolewa jana jioni baada ya kutokea mkasa wa jumba la ghorofa saba kuporomoka usiku wa kuamkia Jumanne, katika kitongoji kimoja cha mji mkuu wa Kenya, Nairobi.
Michuano ya ndondi kwa nchi za Afrika inatarajiwa kuanza Jumamosi hii katika mji wa Brazavile nchini Kongo.Uganda pekee ndio itaiwakilisha Afrika Mashariki.
Nzuri mpendwa wetu, siku imeanza vizuri sana maana mpaka sasa sijasikia tukio lolotete baya na hata watu walonizunguka nyuso zao ziko na furaha!Habari za asubuhi wapendwa wangu
Mm na Shululu hatujamboNzuri T mke wa Shululu.... Hujambo wewe?

Pamoja MkuuSina la ziada tukutane tena kesho Nawatakieni siku njema
Nasikia hata Marekani mwanzo hawakuwa wakiruhusu wanawake kupiga kura! Walikuja kuruhusu baada ya kujihakikishia kuwa kiwango chao cha elimu kimekuwa sawa na wanaume1907 - Norway yawaruhusu Wanawake kupiga kura.
hii inabidi ingekuwaga kwetu tz wanawake no kupiga kura1907 - Norway yawaruhusu Wanawake kupiga kura.