Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Tupo mkuu karibu sananiaje wakuu,nimemiss sana kijiwe chetu...
Tupo mkuu karibu sananiaje wakuu,nimemiss sana kijiwe chetu...
Morning papaaGoodmorning family.....one love![]()
Just a joke Mr Jinja malonjitahidi kuheshimu watu wanaojiheshimu.
Ni dharau sana hii
Kwani unapotajwa haupati notification?
InshallahMbarikiwe waislamu wote Ramadhan Kareem
Niko vizuri mkuu, siku imeanza poa sana!Ahsante kwa taarifa mkuu
BTW uko salama?
Inaumiza sana mkuuWazungu wapuuzi sana
Walipokuja Afrika pia walishangaa jinsi dada na mama zetu walivyojaaliwa makalio makubwa![]()
Wakawachukua wanawake wawili au watatu wa Kisauzi akiwemo Sarah Baartman ambaye alikuwa na makalio makubwa na uke wenye mashavu makubwa na kwenda kuwaweka Ulaya kwenye show room uchi wa mnyama ili kila mtu ajionee maumbile yao na kufaidj
Wametudhalilisha sana enzi za ukoloni
.
.
.
Ahsante kutuletea facts mdau
....
Aiseebaba paroko nadhani atakuwa anautafuta uso wa bwana uko alipo maana mwenyewe naona kimya kimezidi
Tuko pamojaNashukuru sana Komredi, nikiwa kama mdhamini wa leo, nishukuru kwa niaba ya wote!
Shukrani mkuu Mussolin5 kwa historia ya leoLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Morning mkuuMorning Makapuku
Tafuta kisha letaUnajua simu ile iliyoibiwa ndio ilikua kila kitu kwangu nondo kibao nilikua nimeisevu mule, humu hamna chochote
Naomba data zake mkuu1929 - Anne Frank anazaliwa.
Alikuwa ni binti wa Kijerumani na mhanga wa mauaji yaliyofanywa na NAZI. Alifariki akiwa na miaka 16.
Yanaenda vyema kabisaSalama kabisa, mambo yanaendaje
Muulize Gademuu ndio nini?Nyagei kakukosea nini?
Sifa na utukufu ni kwake aliyemuumbaji wa kila kituNiko vizuri mkuu, siku imeanza poa sana!