Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kirat ....
67cf49b321390cbe1fc9d75711bcd330.jpg
Hahahaaha
 
Hao ndugu siwaelewi kabisa
Huku ni "kuitesa maiti tu" mtu wao keshakufa wamzike maisha yaendelee
Sasa wanahangaika na mahakama utafikiri ndugu yao atafufuka....hata kama wauaji wakifungwa hawapati faida yoyote..hata km wakilipwa fidia bado uchungu wa kufiwa hauwezi kumalizwa na pesa

Kwanza ni ngumu sana kwa nchi zinazoendelea raia kuwashtaki Polisi na kushinda kesi
Wakumbuke kuna watu ndugu zao wamefariki na maiti zao hazijawahi kupatikana
Sasa hawa kuzika tu ndugu yao hawataki
Wastage of time

.
.
.
Ahsante kwa magazeti
..........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom