Makapuku Forum

Makapuku Forum

1924 - George H.W. Bush anazaliwa.

Luteni wa zamani wa Jeshi la Marekani.

Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa CIA.

Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani chini ya Rais Ronald Reagan.

Rais wa 41 wa Marekani ambaye kutokana na sera zake mbovu za Uchumi na vita alijikuta akitawala kwa kipindi kimoja tu.

Ndiye baba wa Rais wa 43 wa Marekani, George W. Bush
HBD George H.W.Bush
 
Tuwe na siku njema wakuu ...

But we need to..
201c675f657441df2a751b626f3a6fda.jpg
Ahsante mkuu kwa heading na UF

Uwe na siku njema
 
View attachment 522558Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini wa Mussolin5 nawatakieni siku njema
It's a shame in Africa

Hakuna nchi iliyosimama kwa dakika moja kuomboleza kifo cha Tiote kabla ya mechi kuanza, halafu unakuja kumkumbuka kwa goli it means kama asingefunga asingemkumbuka.

Hakika napata mashaka na upendo juu ya waafrika wenzetu tunapendana tukiwa hai ukipotea umesahaulika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom