Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
1898 - Siku ya Uhuru wa Phillipines.
Mapenzi yameisha tuWewe uliwahi kumuona ana wanga?
1993 - Uchaguzi Mkuu nchini Nigeria wafanyika lakini baadae unakuja kufutwa na kuingiza utawala wa Kijeshi chini ya Jenerali Ibrahim Babangida.
Nigeria ndiyo nchi inayoongoza barani Afrika kuwa na mapinduzi mengi ya Kijeshi.
Ni 1966 to 1979.![]()
![]()
Alitawala kuanzia 1969 hadi 1979
.....
1929 - Anne Frank anazaliwa.
Alikuwa ni binti wa Kijerumani na mhanga wa mauaji yaliyofanywa na NAZI. Alifariki akiwa na miaka 16.
1988 - Mauricio Isla anazaliwa.
Beki wa Kulia wa zamani wa Juventus, QPR na timu ya taifa ya Chile.
NimeeditNi 1966 to 1979.
1992 - Philipe Coutinho anazaliwa.
Kiungo mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Brazil.
Shukrani mdauLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Hivi wewe ni wa kunisema hivyo? Nilelewe kwa lipi? Haha! na nipewe nini nisichonacho?
Nitake radhi kwa ulichokisema. La sivyo hii ni offence kwangu.
Ndani ya 24hrs utakosa robo saa ya kutupatia kilicho bora?Sasa hv sidhan aisee ww mwenyewe wajua mishe zangu zilivy tight
Hayo umesema weweKIKONGWE HASA KAMA YULE WA PICCO
BASI NDIYE

Morning Katibu wa Kapuku'sGood morning family. ..ni siku nyingine na mwanzo mzuri wa wiki ..yatupasa kuitumia vyema na kufanya yampendezayo Muumba wetu ...
Soon UF
Pamoja sana mkuu musoliniNashukuru sana Komredi, nikiwa kama mdhamini wa leo, nishukuru kwa niaba ya wote!