Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mpaka na mi niweke leaving certificate ndio nitaonekana mtu mzima humu? Huyo Obe nilimwambia kila zama na watu wake. Kama alikuja na ngonjera za "eyo wasapu" obviously lazima aonekana joti to my BlessedHope.


Nakuangalia tu unavyojitoa fahamu kwa BH, me sikuja na mambo yenu vijana. Nitarudi kukueleza nini niliingia nacho
 
Dondoo za bbc

Zaidi ya wafungwa 930 wametoroka baada ya kutokea shambulizi na kuvunja gereza moja huko Congo DRC.

Mzunguko wa kwanza wa kura za maoni katika uchaguzi wa wabunge nchini Ufaransa unaonyesha dalili za chama kipya cha rais Emmanuel Macron kuweza kujinyakulia viti vingi vya bunge.

Afrika Kusini itaadhimisha miaka mitano ya mauaji ya wachimba migodi 34 wa Marikana waliouawa walipokua wakiandamana kudai nyongeza ya mshahara walipotaka ufikie kiwango cha dola elfu moja.

Rais wa Soimalia Mohamed Abdullahi Farmajo amesema kuwa majeshi ya taifa hilo kwa kushirikiana na majeshi ya Marekani wamefanya shambulio kubwa katika ngome ya Al Shabab.

Unafahamu kwamba muziki aina ya Salsa ni mwondoko wa Kiafrika, ambao kwa sasa unarejea nyumbani?
Asante kwa dondoo
 
Wazungu wapuuzi sana
Walipokuja Afrika pia walishangaa jinsi dada na mama zetu walivyojaaliwa makalio makubwa
960e67f20bab254392f7b273f3563a89.jpg

Wakawachukua wanawake wawili au watatu wa Kisauzi akiwemo Sarah Baartman ambaye alikuwa na makalio makubwa na uke wenye mashavu makubwa na kwenda kuwaweka Ulaya kwenye show room uchi wa mnyama ili kila mtu ajionee maumbile yao na kufaidj
Wametudhalilisha sana enzi za ukoloni

.
.
.
Ahsante kutuletea facts mdau
....
Mbaya sana hata kuisikia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom