Makapuku Forum

Makapuku Forum

Inaumiza ndiyo but we are still doing the same. Huoni mawigi, mikorogo na upuuzi mwingine wa kuabudu kila kitu cha mzungu? Bado wanatudhalilisha tu japo sasa tunajidhalilisha wenyewe. Nothing has changed!
una point ya msingi broh lakini kuna baadhi ya mambo atuwezi kufanya mpaka msaada wa hawa jamaa,
wametupiga gap kubwa kwenye maendeleo ndio maana bado tuakuwa watumwa
 
FIFA WORLD CUP U20 FINAL
137123c1c0bb4d6b2e8699cae9648017.jpg
Venezuela walikosa penati dakika ya 77
c250dd8c2736b1b9094a8dc86bf5a02a.jpg
Vijana wakisheherekea ubingwa wao
51487c6d4dea7c164122a1b864eb0c6d.jpg
Furaha ya ushindi
654172f2ef00982bc201f188fd6a08a7.jpg
Vijana kutoka Academy ya Everton FC

SOLANKE NDIYE MFUNGAJI BORA
0f28a7335b950bc2274b1ea2693f8957.jpg
Mshindi wa Golden boot Solanke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom