Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Mchawi ni shedede sio mie asee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mama mchawi nakuonaaa
[emoji57] [emoji57]
Mchawi ni shedede sio mie asee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mama mchawi nakuonaaa
Hi[emoji109] [emoji109]Goodmorning family.....one love[emoji111]
Bitoz, jamii yetu inashida sana hapa upande wa kujitambuaHao ndugu siwaelewi kabisa
Huku ni "kuitesa maiti tu" mtu wao keshakufa wamzike maisha yaendelee
Sasa wanahangaika na mahakama utafikiri ndugu yao atafufuka....hata kama wauaji wakifungwa hawapati faida yoyote..hata km wakilipwa fidia bado uchungu wa kufiwa hauwezi kumalizwa na pesa
Kwanza ni ngumu sana kwa nchi zinazoendelea raia kuwashtaki Polisi na kushinda kesi
Wakumbuke kuna watu ndugu zao wamefariki na maiti zao hazijawahi kupatikana
Sasa hawa kuzika tu ndugu yao hawataki
Wastage of time
.
.
.
Ahsante kwa magazeti
..........
Kwa hiyo unanisema kisa sipo. Je, unayosema ni ya kweli au unahisi tu?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] nilijua haupo huku
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kwangu hiyo habari ya wafungwa kutoroka ndo habari iliyonivutiaDondoo za bbc
[emoji117] Zaidi ya wafungwa 930 wametoroka baada ya kutokea shambulizi na kuvunja gereza moja huko Congo DRC.
[emoji117] Mzunguko wa kwanza wa kura za maoni katika uchaguzi wa wabunge nchini Ufaransa unaonyesha dalili za chama kipya cha rais Emmanuel Macron kuweza kujinyakulia viti vingi vya bunge.
[emoji117] Afrika Kusini itaadhimisha miaka mitano ya mauaji ya wachimba migodi 34 wa Marikana waliouawa walipokua wakiandamana kudai nyongeza ya mshahara walipotaka ufikie kiwango cha dola elfu moja.
[emoji117] Rais wa Soimalia Mohamed Abdullahi Farmajo amesema kuwa majeshi ya taifa hilo kwa kushirikiana na majeshi ya Marekani wamefanya shambulio kubwa katika ngome ya Al Shabab.
[emoji117] Unafahamu kwamba muziki aina ya Salsa ni mwondoko wa Kiafrika, ambao kwa sasa unarejea nyumbani?
Wewe uliwahi kumuona ana wanga?Mchawi ni shedede sio mie asee
[emoji57] [emoji57]
Baaaasi mkuu yaisheeeeeKwa hiyo unanisema kisa sipo. Je, unayosema ni ya kweli au unahisi tu?
Kwanini unasambaza taarifa za uongo? Ili iweje. Nyagei sijui bagei akija hapa umwambie pia ajiheshimu. Gademuu.
Asante kwa kuyapitia mama mchungajiUbarikiwe mkuu Shululu siku njema kwako pia[emoji120]
Zari anapaswa kujua ni wajibu wake kulea watoto wake haina ubishi.
Sijawahi ila amesema yy mwenyeweWewe uliwahi kumuona ana wanga?
Aisee, mbona hapa sielewisalama mchawi wa sumbawanga
[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mke wa mchawi u mzima ??
Mchawi wako kaamkajee
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Nawaooonaaa nawaogopaaaa
Nyie sio wenzetu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mi simtaki tena
Siwezi kuishi na mchawi mid
Nashukuru alivyojisema mwenyewe
Kwani kuishi nae mpaka uwe mchawi ??
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mama mchawi nakuonaaa
Mchawi ni shedede sio mie asee
[emoji57] [emoji57]
Mbona sijaona mahari aliposema yeye ni mchawiSijawahi ila amesema yy mwenyewe
Shemela[emoji137] [emoji137]Good morning family. ..ni siku nyingine na mwanzo mzuri wa wiki ..yatupasa kuitumia vyema na kufanya yampendezayo Muumba wetu ...
Soon UF
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Tuwe na siku njema wakuu ...
But we need to..![]()
Hbr ya asubuhi baba watoto[emoji7] [emoji7]Morning Lee, D hajambo na mama yake?
Wazungu wapuuzi sana
Wew si mke wakeMchawi ni shedede sio mie asee
[emoji57] [emoji57]
Shukran babaa[emoji120] [emoji120] [emoji120]View attachment 522558Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini wa Mussolin5 nawatakieni siku njema
Baba mchungaji huyooooGoodmorning family.....one love[emoji111]