Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mbaya sana hata kuisikia
e5a4148da45e03fc73625a0c79fca84e.gif
c568597761446832f620674badd4440f.gif
 
1993 - Uchaguzi Mkuu nchini Nigeria wafanyika lakini baadae unakuja kufutwa na kuingiza utawala wa Kijeshi chini ya Jenerali Ibrahim Babangida.

Nigeria ndiyo nchi inayoongoza barani Afrika kuwa na mapinduzi mengi ya Kijeshi.
 
1924 - George H.W. Bush anazaliwa.

Luteni wa zamani wa Jeshi la Marekani.

Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa CIA.

Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani chini ya Rais Ronald Reagan.

Rais wa 41 wa Marekani ambaye kutokana na sera zake mbovu za Uchumi na vita alijikuta akitawala kwa kipindi kimoja tu.

Ndiye baba wa Rais wa 43 wa Marekani, George W. Bush
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom