Makapuku Forum

Makapuku Forum

598976934af412c65de7e485e28c6252.jpg
 
Dondoo za bbc

Zaidi ya wafungwa 930 wametoroka baada ya kutokea shambulizi na kuvunja gereza moja huko Congo DRC.

Mzunguko wa kwanza wa kura za maoni katika uchaguzi wa wabunge nchini Ufaransa unaonyesha dalili za chama kipya cha rais Emmanuel Macron kuweza kujinyakulia viti vingi vya bunge.

Afrika Kusini itaadhimisha miaka mitano ya mauaji ya wachimba migodi 34 wa Marikana waliouawa walipokua wakiandamana kudai nyongeza ya mshahara walipotaka ufikie kiwango cha dola elfu moja.

Rais wa Soimalia Mohamed Abdullahi Farmajo amesema kuwa majeshi ya taifa hilo kwa kushirikiana na majeshi ya Marekani wamefanya shambulio kubwa katika ngome ya Al Shabab.

Unafahamu kwamba muziki aina ya Salsa ni mwondoko wa Kiafrika, ambao kwa sasa unarejea nyumbani?
Asante Lee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom