Makapuku Forum

Makapuku Forum

eb325995fd5971ea47dfd2bba016e6d8.jpg
Hahaha hivi vituko ni mpaka kwa shem au ni huku tu
 
Endelea kupambana kamanda. Hata kama ni kukuna nazi we kuna tu. Tena hawa wa kuoza hawa wakioza wanaoza kweli kweli. Ukifanikiwa kumbadilisha msimamo tu kwisha kazi. Usije ukasahau kuleta mrejesho [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa bagheshi unanipigia ndogo ndogo kwa dadaangu?..... Dadaangu huyo ujue... Mi namuheshimu sana. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ndo shida ya kujifichaficha
Mi mtu ninayemwamini na urafiki wetu kupitiliza huwa nampa #
Maana humu JF huwa "sifabyi ukichaa,kutokana watu,kupost Jukwaa la wakubwa na mauzauza mengine
Zaidi napendelea kuchat kiutani,kuabzisha thread za kiburudani mfano Maajabu ya Joto City,Vituko Uswahilini,Chimbuko la Panya Road & Vigodoro n.k
Hivyo sina hofu ya kutekwa wala mtu kushangaa maisha ninayoishi siku tukikutana
Karibu Uswahilini kwetu Mabibo Beach
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
........
Hivi hilo jukwaa la 18+ lipo kweli?
 
Back
Top Bottom