Makapuku Forum

Makapuku Forum

Siku ukikuta mtoto ye yote hapa duniani (nje ya Afrika) akikatazwa kuongea lugha ya mamake, lugha mama ambayo kupitia kwayo ndiyo anaweza kufinyanga mawazo yake na hatimaye kujitambua yeye na nafasi yake katika dunia hii nitafute nikupige ofa ya Balimi za kutosha!
8b60d56eb4f4e8482a776587f253cb62.jpg
Lugha mama muhimu inaleta kujitambua na kujithamini[emoji123]
 
Una uzoefu na haya mambo eeh! Kuna mtu sasa umempachika udada. Kumbe dume zima upo wakuna nazi. Ole wake yule jamaa akikudharau na kukuona bwege. Atakuta mtetea si wake [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Wacha uchochezi bagheshi..... Dada ameoza kwa Lee.... Na ana msimamo.
 
Back
Top Bottom