Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
hahhaha ndio yenyewe shemela we mtu mzima ujueIla ndio yenyewe
hahhaha ndio yenyewe shemela we mtu mzima ujueIla ndio yenyewe
Za bhinamuBaba D mimi sizipendi kama ni za ukweli niambie nijue tu
kubisha niniiiNan anabishaaaa
Hilo katazo limevuka mipaka, mtoto toka anaanza kuongea anazungumza lugha mama kumkataza ni kumnyima uhuru wake labda wakate ndani ya darasa wakati wa vipindi.Siku ukikuta mtoto ye yote hapa duniani (nje ya Afrika) akikatazwa kuongea lugha ya mamake, lugha mama ambayo kupitia kwayo ndiyo anaweza kufinyanga mawazo yake na hatimaye kujitambua yeye na nafasi yake katika dunia hii nitafute nikupige ofa ya Balimi za kutosha!![]()
Endelea kupambana kamanda. Hata kama ni kukuna nazi we kuna tu. Tena hawa wa kuoza hawa wakioza wanaoza kweli kweli. Ukifanikiwa kumbadilisha msimamo tu kwisha kazi. Usije ukasahau kuleta mrejesho [emoji23][emoji23][emoji23]Wacha uchochezi bagheshi..... Dada ameoza kwa Lee.... Na ana msimamo.
MadamMie naogelea ila naumwa
Katibu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Shemna me nakupenda wewe tu Baba D wangu cheusi wangu [emoji8]
Hi momLugha mama muhimu inaleta kujitambua na kujithamini[emoji123]
Ile hadithi jana iliendelea?Tupooo jombaaa
Ameeeeniii[emoji524] LUKA 12
32."Msiogope, enyi kundi dogo! Maana BABA yenu amependa kuwapa ufalme.
NAWATAKIA SIKU NJEMA, JUMAPILI YENYE BARAKA [emoji7] [emoji7] [emoji7]
NdioIle hadithi jana iliendelea?
Ni mtu [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ni nan sasa
Marahaba namshukuru Mungu mzima, naye mzimaHi mom
Shikamoo
Baba mchungaji mzima?
Ni mtu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ni nan sasa
Hongera sana mkuu kwa 210kMwenyeweee
Amen[emoji524] LUKA 12
32."Msiogope, enyi kundi dogo! Maana BABA yenu amependa kuwapa ufalme.
NAWATAKIA SIKU NJEMA, JUMAPILI YENYE BARAKA [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Ni mtu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimemanisha shululu uliyemquoteHongera sana mkuu kwa 210k
[emoji120][emoji524] LUKA 12
32."Msiogope, enyi kundi dogo! Maana BABA yenu amependa kuwapa ufalme.
NAWATAKIA SIKU NJEMA, JUMAPILI YENYE BARAKA [emoji7] [emoji7] [emoji7]
mambo yako shem wangeMadam
Katibu
Shem