Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
ndio huyu
Heri ya kuzaliwa bwana Mondray kumbe ni bado bwana mdogo
Ilipotea njia hiyolabda nyagei kaamua tu kuweka picha
ndio huyu
Heri ya kuzaliwa bwana Mondray kumbe ni bado bwana mdogo
Ilipotea njia hiyolabda nyagei kaamua tu kuweka picha
WeweeeeeeeeeeeeeeeeeLugha mama muhimu inaleta kujitambua na kujithamini[emoji123]
Tupooo jombaaaHabari ya uzima humu ndani
Nakuona mkandarasi nani kabahatika 210k?Nyagei tupo
MwenyeweeeNakuona mkandarasi nani kabahatika 210k?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bada ya kusemwa umekuja kukanusha bana sisi tunajua kuweni na Amani hamna mtoto hapaIlipotea njia hiyo
Ila ndio yenyeweIlipotea njia hiyo
[emoji120] [emoji120][emoji524] Heal me O Lord and I shall be healed save me O Lord and I shall be saved:for thou art my praise
Kama kawaidaNakuona mkandarasi nani kabahatika 210k?
mama mchuchu shikamoo mama ni nini lakinii uwe unatoa taarifa watu tuna wasiwasiPole dear Mungu akuponye
Hiyo sumsung curve inaenda ngapij![]()
![]()
free delivery![]()
Hongera mkuu hapo pametuliaNipo kibaha huku juu nimetulia tuli, upepo mwanana kabisa kama niko beach vile
Baba D umeanza lini kutoniamini [emoji15] subilia nikila usiku nitakuwekeaWeka pichaa
tumeunganishwa ndioMm na wewe si tumeunganishwa ??
hahhahahKama nakuonaaa
[emoji276]Ilipotea njia hiyo
Nan anabishaaaahahhahah
Baba D mimi sizipendi kama ni za ukweli niambie nijue tuUsizipendee kiukwelii