Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji15] [emoji15] [emoji15]
b679bf5958f36aa0e7b7ef7dffa0b26c.jpg
22b1500267a9b2c4d4f6169784ab72e8.jpg
 
Jamaan wenye no za mama mchuchu hivi anaendeleaje mama yangu [emoji134] [emoji134] sijamuona kalibia siku ya pili hii Mungu amtunze [emoji8]
Ndo shida ya kujifichaficha
Mi mtu ninayemwamini na urafiki wetu kupitiliza huwa nampa #
Maana humu JF huwa "sifabyi ukichaa,kutokana watu,kupost Jukwaa la wakubwa na mauzauza mengine
Zaidi napendelea kuchat kiutani,kuabzisha thread za kiburudani mfano Maajabu ya Joto City,Vituko Uswahilini,Chimbuko la Panya Road & Vigodoro n.k
Hivyo sina hofu ya kutekwa wala mtu kushangaa maisha ninayoishi siku tukikutana
Karibu Uswahilini kwetu Mabibo Beach
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
........
 
Ndo shida ya kujifichaficha
Mi mtu ninayemwamini na urafiki wetu kupitiliza huwa nampa #
Maana humu JF huwa "sifabyi ukichaa,kutokana watu,kupost Jukwaa la wakubwa na mauzauza mengine
Zaidi naendelea kuchat kiutani,kuabzisha thread za kiburudani mfano Maajabu ya Joto City,Vituko Uswahilini,Chimbuko la Panya Road & Vigodoro
Hivyo sina hofu ya kutekwa wala mtu kushangaa maisha ninayoishi siku tukikutana
Karibu Uswahilini kwetu Mabibo Beach
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
........
Kweli ujue watu mnaoaminiana mnapeana no me nikipotea mumtafute lee
 
Back
Top Bottom