Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kweli ujue watu mnaoaminiana mnapeana no me nikipotea mumtafute lee
Na hivyo humu tupo watu tunajuani hadi viwanda tunavyoishi
Kipimo kimojawapo cha urafiki ni pale unapovutiwa na mtu hata kwa mwandiko wake tu
Humu tunajaliana na kufarijiana pengine kuliko WhatsApp group za wana ndugu ambao unaweza kuwaambia "unaumwa" na wakauchuna tu
Naamini ni bora rafiki anayenijali kuliko ndugu wa damu asiyenithamini
.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom