Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
binamu anahusikaje kwa cheusi mangalaZa bhinamu
binamu anahusikaje kwa cheusi mangalaZa bhinamu
Marahaba mwanangu mambo mengi dear ila salama namshukuru Mungu kwa yotemama mchuchu shikamoo mama ni nini lakinii uwe unatoa taarifa watu tuna wasiwasi
Leo imewekwaIle hadithi jana iliendelea?
ni kweliiiii sihitaji maswaliHili angalizo la kipanya hili limekaaje hili? Lina misingi yo yote katika Bayolojia, Saikolojia na kimaumbile au limejikita katika mazoea ya kitamaduni tu? Ni kweli haiwezekani kuwa na mwanamke mmoja tu? Is monogamy a sham?![]()
Nawamis sanasana nipo kwa muda kidogo tuWeweeeeeeeeeeeeeeeee
Mamaaaaaaaa huyoooooooooooooo
Mama maflowe
Mama mwenye mutima ya mukongooooooooo
Tumekumis...
nashkuru mama kama upo salama nilikua na wasiwasiMarahaba mwanangu mambo mengi dear ila salama namshukuru Mungu kwa yote
Asante mkuu NyageiHongera sana mkuu kwa 210k
Leeeeee...!!!ni kweliiiii sihitaji maswali
Amesema kilichojaa moyoni make, aulizwe sasa yeye amefanikiwa au anapiga marktime.... Monogamy is not a shame at all. Inaleta heshima na kuonesha msimamo katika masuala tote ya maisha, uchumi, familia, kazi, imani nkHili angalizo la kipanya hili limekaaje hili? Lina misingi yo yote katika Bayolojia, Saikolojia na kimaumbile au limejikita katika mazoea ya kitamaduni tu? Ni kweli haiwezekani kuwa na mwanamke mmoja tu? Is monogamy a sham?![]()
nilijua tu utamwita lee maksudi tu nimeongea msukumaLeeeeee...!!!
Kweli Mungu atusaidie, tunazidi kudidimiaAfrika yaani dah! Ni afadhali Mungu Akunyime mali kuliko kukunyima akili. Sisi Mungu katupa mali kibao lakini akili mh. Ndo maana jamaa wenye akili wanakuja na kusomba mali zetu siye tupo tumekaa tu...![]()
Sorry. I couldn't resist...!nilijua tu utamwita lee maksudi tu nimeongea msukuma
HahahaSorry. I couldn't resist...!
Sio mahali pake![]()
![]()
free delivery![]()
haahha yaan weweSorry. I couldn't resist...!
Nakukubali sana, nilipewa task hiyo niifanye nikaifanya, sikujibu kwa wakati sababu nilikuwa na mizunguko![]()
![]()
bada ya kusemwa umekuja kukanusha bana sisi tunajua kuweni na Amani hamna mtoto hapa
Yes sirIla ndio yenyewe
MtajeKama kawaida