Makapuku Forum

Makapuku Forum

Afrika yaani dah! Ni afadhali Mungu Akunyime mali kuliko kukunyima akili. Sisi Mungu katupa mali kibao lakini akili mh. Ndo maana jamaa wenye akili wanakuja na kusomba mali zetu siye tupo tumekaa tu...
199223241071570a4f527a2a3941acc3.jpg
Ni kutokujikubali na kuwa na sera bora ndio maana hali iko hivyo
 
Na hivyo humu tupo watu tunajuani hadi viwanda tunavyoishi
Kipimo kimojawapo cha urafiki ni pale unapovutiwa na mtu hata kwa mwandiko wake tu
Humu tunajaliana na kufarijiana pengine kuliko WhatsApp group za wana ndugu ambao unaweza kuwaambia "unaumwa" na wakauchuna tu
Naamini ni bora rafiki anayenijali kuliko ndugu wa damu asiyenithamini
.......
Umeongea jambo la moyoni

Salute kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom