Makapuku Forum

Makapuku Forum

733f4e609ff26249815174f49ab4ad20.jpg
f6cfaa1debe64e6af822a5aa8f6f0316.jpg
6cfd2bcdf96bc840033a9f4a53eddcee.jpg

Mmoja kati ya viungo andunje mafundi
Licha ya kushinda kila kitu kwenye ngazi ya klabu mwaka huo na kufika fainali World Cup pale Sauzi na kupigwa na Hispania extra time kwa goli pekee la Iniesta lakini akanyimwa Ballon D'or na kupewa "watu wale"
Samtaimu inaboa
......
Wazungu nao ni viumbe kama waafrika
 
METHALI 16

1.Binadamu hupanga mipango yake,lakini kauli yamwisho ni ya Mungu.

2.Matendo ya mtu huonekana kwake kuwa sawa,lakini mwenyezi Mungu hupima nia ya mtu.

3.Mwekee Mwenyezi Mungu kazi yako,nayo mipango yakobitafanikiwa

MUNGU AWABARIKI WAPENDWA WANGU
 
NUKUU YA LEO

Great things in business are never done by one person. They're done by a team of people.

Vitu vikubwa kwenye biashara havifanywi na mtu mmoja, huwa vinafanywa na timu ya watu.

Haya maneno yaliwahi kutamkwa na mwanasansi, na mgunduzi computer za Mac Bwana Steve Jobs

Steve Jobs alizaliwa tar. 24/2/1955 mjini california nchini marekani na kufariki october 5 2011 akiwa na miaka 56.

Steve Jobs alizaliwa na wazazi wenye asili ya Syria na kuasiliwa na wazazi wa kimarekani waliomlea wakati wa utoto wake.

Steve Jobs atakumbukwa kuwa ni moja School drop-out kama kina Marck Zukerberg wa Facebook na baadhi ya matajiri wengine walioacha shule na kufanya kile walichokipenda na kuamini kuwa ndio sehemu ya mafanikio yao.

Steve Jobs alifariki kwa cancer ya Ini. Ila pia ukumbukwe Jobs alikuwa anatumia sana marijuana na LSD kama sehemu ya starehe..
f53f2bc501c655a6204bef06e52b9bd9.jpg
a7ca2f17c2f2b6cc9b66e5a7b98646b9.jpg

ce6e568318f2762689c4700a8202443b.jpg

Kuna mengi ya kuandika na kijifunza kutoka kwa Steve Jobs lakini kwa leo niishie hapa.


Morning wakuu.
Ubarikiwe kwa Nukuu T wa Sakayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom