Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,636
- 4,420
AminaMuwe na siku njema View attachment 521564
AminaMuwe na siku njema View attachment 521564
Ubarikiwe...!!Amina
Nachungulia chunguliaUtaskip ukirud
KweliHa ha ha ha ha ha... Najishtukia vp Rafiki kipenz? Yule demu bomba mwenye nywele nyingi kwapani uliekutana nae kwenye daladala..... imeishaje ile episode.

Nawe piaSiku njema wakuu
Kweli vp Shululu?Kweli![]()
![]()
Vizuri sana katibuAsante mkuu kwa nyongeza ...
Kwanza mkuu nikukumbushe liver sio enzyme bali inazalisha na kutunza enzyme
Ini ni kiungo kikubwa kuliko organ zote ndani ya mwili na kiukweli inafanya kazi kubwa sana ..katika ya essentil body part yenye umuhimu ni Ini hii ni kutokana na kazi zinazofanywa na ini ...
Bhinadamu kila mara mwili unahitaji nguvu na nguvu zinatoka na vyakula tunavyokula na huwezi jua kipi cgakula unachokula ni salama au vip ...
Baada ya atua ya mwanzo ya mmengenyo wa chakula hasa mdomoni chakula kikiingia tu mwili ini ufanya kazi ya detoxification au kuharibu kipi hakihitajiki na kipi kinahitajika ...
Ini inazalisha bile, ila bile sio enzyme .. inayotunzwa na gallbladder na hii ndo kama major activator ya liver kwenye detoxification na endapo ikipungua ndo hasa magonjwa ya ini yanaonekana
Mbali na hiyo ini inazalisha Bilirubi , choresterol hormone hasa kupambana na mafuta ...wala chips hapa tusamehe mafuta yansyotumika ini haiusiki nayo...usishangaeee
Lakin ini inasaidia kuactivate enzymes pamoja ns kutunza glyolcogen hapa likifeli magonjwa kama kisukari yatakusumbuaa sana .....
Asante mkuu ...
Hiyo hadithi ya LeeKweli vp Shululu?
1985 - Sonam Kapoor anazaliwa.
Ni mwanamitindo na actor wa filamu toka nchini India.
Mbona kajiachia hivyo![]()
![]()
![]()
Huko kwenye riadha ameshawahi kutwaa medali siyo tu kusindikiza
Filamu zake za karibuni ni Neenja (2016) na Prem Ratan Shan Pato {2015)
........
Akitoa maelezo nitagHiyo hadithi ya Lee
1984 - Wesley Sneijder anazaliwa.
Kiungo wa Kiholanzi ambaye amewahi kukipiga Inter Milan, Ajax na Real Madrid.
Ametwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2010 akiwa na Inter Milan ya Jose Mourinho.
Bhanaaa mbona mnataka mm niishii kwa stressHa ha ha ha ha ha... Najishtukia vp Rafiki kipenz? Yule demu bomba mwenye nywele nyingi kwapani uliekutana nae kwenye daladala..... imeishaje ile episode.
AmenUsijali, makapuku itaendelea kutukutanisha mpaka hiyo siku.
Ulivyotumia usikuVitu gani hivyo mkuu?
Multipurpose talents![]()
![]()
![]()
Huko kwenye riadha ameshawahi kutwaa medali siyo tu kusindikiza
Filamu zake za karibuni ni Neenja (2016) na Prem Ratan Shan Pato {2015)
........