Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,247
- Ni siku ya Mashujaa nchini Uganda.
Na lazima awe wa kikeNajua sakayo anataka wa kike ili tubalance familia.. 3 kwa 3
TuheshimianeHalafu una uzazi wa karibu. Kitu na box. Ukigusa tu kituuu
Happy born day mzee wa fall in love..1980 - D'banj anazaliwa.
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria.
Ukipata muda pitia mkuuNatamani nipate time ya kupitia visa vya hawa jamaa nilete nyama hapa..
Goodmorning sir ,you good,happy,ready to work?Blessings to youhave a wonderful day..friday
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
shunie mamaa maflower hkuUlitaka yafanane na nani mkuu ? Kwa hiyo hao Wawili sura siyo yako?Hoooo!
Hawa madume 3 wa kwanza ni pacha mkuu..
Yaani ilikuwa jiwe moja dezaini likafyatua 3.
Alafu yanafanana na mimi hatareee...
Hadi kucheka mkuu kama Transcend tuu
Ili usikumbane na test hiyo hakikisha unajitunza vizuri hasa nguvu zako asilia ili uweze kupiga kazi mpaka 50 yearsTest ya tezi dume sasaaa majanga.
It's okayIla still I'm your shield mpaka uguswe basi apitie kwanza kwangu
Jamaa huyu ana historia yake Ujeruman upande wa kimichezo ameisaidia sana timu ya taifa kwani kama sikosei katika mechi 137 aliifungia mabao 711978 - Miroslav Klose anazaliwa.
Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ujerumani.
Ndio mfungaji wa kihistoria katika mashindano ya Kombe La Dunia.
Ya kuku auMayai
All the bestAsante mkuu..
Naona mwaka ukata afu nikicheki millestone yangu..
Kuna vitu natakiwa niwe nimeweka sawa kabla ya December..
God help me..
Taratibu tutaandika historia ya ufyatuaji kwa TzHoooo!
Hawa madume 3 wa kwanza ni pacha mkuu..
Yaani ilikuwa jiwe moja dezaini likafyatua 3.
Alafu yanafanana na mimi hatareee...
Hadi kucheka mkuu kama Transcend tuu
Upo vizuri mkuu.Binadamu ana figo mbili,mapafu mawili ila ana ini moja tu
Kazi rasmi ya ini ni Kubreak protein![]()
Yaani ni an enzyme
Ila kibongobongo kila kitu tunachokula kina sumu nafikiri ini ndo linalosaidia pia kuua sumu km ilivyo kwa figo ambazo huchuja majitaka(mkono)
Magonjwa ya ini ni hatari maana likiharibika tu ni balaa japo huweza "kupandikizwa"
Kwahiyo ukiharibu ini utazidiwa na sumu sijui zaidi na kila utakapokula ndo unazidi kuliharibu zaidi na huwezi kamwe kuishi bila kula
Kifo kitakuita
NB:
Sikumbuki vizuri Biology
...,......
Happy born day mzee wa fall in love..
Cc: sakayo wa Transcend
HahahaTaratibu tutaandika historia ya ufyatuaji kwa Tz
Ohoooo. Kumbe sura zenu zinafanana?Wamefanana na mie bhana