shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Asante mama watoto wangu![]()
![]()
shukran baba watoto
Asante mama watoto wangu![]()
![]()
shukran baba watoto
Mmeanzaa![]()
![]()
shunie mamaa maflower hku
HBD Shandi1978 - Shandi Finnessey anazaliwa.
Alikuwa ni Miss USA 2004.
HBD klose1978 - Miroslav Klose anazaliwa.
Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ujerumani.
Ndio mfungaji wa kihistoria katika mashindano ya Kombe La Dunia.
KabisaaSoon kibarua kitaota nyasi
AiseeNajua sakayo anataka wa kike ili tubalance familia.. 3 kwa 3
UmefuraaahiHaaaaahaaaa
See too love..See you later
HBD Wesley1984 - Wesley Sneijder anazaliwa.
Kiungo wa Kiholanzi ambaye amewahi kukipiga Inter Milan, Ajax na Real Madrid.
Ametwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2010 akiwa na Inter Milan ya Jose Mourinho.
OkaySee too love..
1968 - Rais wa Marekano, Lyndon B. Johnson anatangaza siku moja ya maombolezo kufuatia kifo cha Seneta Robert F. Kennedy.
U,sound imeisha fanya yakeNa lazima awe wa kike
Asante kwa leo katika historia mkuu musoliniLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema, Ijumaa Kareem.
Ongea taratibu basiiiU,sound imeisha fanya yake
Anataka kupotezea kunyongwaTuheshimiane
Ukoo haufi mapemaIlimradi anaweza kulea hamna tatizo, wacha tuijaze nchi
Hiyo ni lazimaAnataka kupotezea kunyongwa
KabisaaUkoo haufi mapema