Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Nooo babe's...Naomba mie ndo nitimize hilo jukumu
Sitaki mikono yako iwe na deni la damu ya mtu..

MmmmmmhGoodmorning sir ,you good,happy,ready to work?Blessings to youhave a wonderful day..friday
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Salamaa..Morning T wa Sakayo umeamshwaje? Ubarikiwe
Hapatakuwa na deni. Worry out, hapana dhambi isiyo samehewaNooo babe's...
Sitaki mikono yako iwe na deni la damu ya mtu..
JamanMungu yu mwema niko salama,nimeamka wema wa Mungu wanizunguka,pole na majukumu nakuombea Afya,furaha,mafanikio......ubarikiwe sana..siku njema![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
BhinamuNi faraja iliyoje mtoto kuona wazazi wake wakiwa na love ya dhati
I feel it
HahahaKaaah!
Ile game ilikuwa sio mchezo..!
Shukrani Komredi ShululuView attachment 521526Kutoka magazetini sina la ziada, kwa udhamini mnono wa ipogolo, nawatakieni ijumaa njema
Uko vizur captainCaptain wa jeshi mkuu. Nimepata kamisheni Leo. Umesahau Mkuu?
Ujumbe mzito bossNUKUU YA LEO
Great things in business are never done by one person. They're done by a team of people.
Vitu vikubwa kwenye biashara havifanywi na mtu mmoja, huwa vinafanywa na timu ya watu.
Haya maneno yaliwahi kutamkwa na mwanasansi, na mgunduzi computer za Mac Bwana Steve Jobs
Steve Jobs alizaliwa tar. 24/2/1955 mjini california nchini marekani na kufariki october 5 2011 akiwa na miaka 56.
Steve Jobs alizaliwa na wazazi wenye asili ya Syria na kuasiliwa na wazazi wa kimarekani waliomlea wakati wa utoto wake.
Steve Jobs atakumbukwa kuwa ni moja School drop-out kama kina Marck Zukerberg wa Facebook na baadhi ya matajiri wengine walioacha shule na kufanya kile walichokipenda na kuamini kuwa ndio sehemu ya mafanikio yao.
Steve Jobs alifariki kwa cancer ya Ini. Ila pia ukumbukwe Jobs alikuwa anatumia sana marijuana na LSD kama sehemu ya starehe..
![]()
![]()
![]()
Kuna mengi ya kuandika na kijifunza kutoka kwa Steve Jobs lakini kwa leo niishie hapa.
Morning wakuu.
SasajeeeHakika
Asante mkuuNUKUU YA LEO

Kweli Mkuu!Hapatakuwa na deni. Worry out, hapana dhambi isiyo samehewa
Na saivi nina kijachoDalton
Donald
Duncan
Doroth
Darlene..
Shikamoo madam SakayoHello
Life needs a teamwork...Noted