Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Muacheee bhanaa![]()
![]()
binamu hajaamka bado
VP Rafiki kipenz...Kipenzi rafiki
Vitu gani hivyo mkuu?Upunguze matumizi ya vile vitu vyako mkuu
BTW niko poa kabisa
Vipi familia haijambo?
Usijali, makapuku itaendelea kutukutanisha mpaka hiyo siku.Tutafutane siku hiyo
NakuonaaaVP Rafiki kipenz...
Nimefanyaje tena Rafiki kipenz?Nakuonaaa
UnajishtukiaaNimefanyaje tena Rafiki kipenz?
Utaskip ukirudMakapuku baadaye kidogo
Upo sahihi mkuuAsante mkuu kwa nyongeza ...
Ini ni kiungo kikubwa kuliko organ zote ndani ya mwili na kiukweli inafanya kazi kubwa sana ..katika ya essentil body part yenye umuhimu ni Ini hii ni kutokana na kazi zinazofanywa na ini ...
Bhinadamu kila mara mwili unahitaji nguvu na nguvu zinatoka na vyakula tunavyokula na huwezi jua kipi cgakula unachokula ni salama au vip ...
Baada ya atua ya mwanzo ya mmengenyo wa chakula hasa mdomoni chakula kikiingia tu mwili ini ufanya kazi ya detoxification au kuharibu kipi hakihitajiki na kipi kinahitajika ...
Ini inazalisha bile inayotunzwa na gallbladder na hii ndo kama major activator ya liver kwenye detoxification na endapo ikipungua ndo hasa magonjwa ya ini yanaonekana
Mbali na hiyo ini inazalisha Bilirubi , choresterol hormone hasa kupambana na mafuta ...wala chips hapa tusamehe mafuta yansyotumika ini haiusiki nayo...usishangaeee
Lakin ini inasaidia kuactivate enzymes pamoja ns kutunza glyolcogen hapa likifeli magonjwa kama kisukari yatakusumbuaa sana .....
Asante mkuu ...
Ha ha ha ha ha ha... Najishtukia vp Rafiki kipenz? Yule demu bomba mwenye nywele nyingi kwapani uliekutana nae kwenye daladala..... imeishaje ile episode.Unajishtukiaa
SawaKwa vile Shunie dadaangu wewe utakuwa Binamu... Sawa?
Kweli kabisa mdauAsante mkuu kwa kuongeza nyama.
Jamaa alikuwa anapiga drugs za kufa mtu na alishakiri kuwa ni mojawapo ya kitu anachokipenda kuliko vitu vyote..
Hizo dawa za LSD huwa zinatumika sana kutengeneza mazingira ambayo sio halisi..
LSD (lysergic acid diethylamide) hutmika katima mind control na na mind alteration..
Hizi dawa zimetumika pia na CIA kwenye project yao ya MKULTRA ..
Sasa Jobs alikuwa anazipenda hataree..
Goodmorning Balozi Bitoz.
- Ni siku ya Mashujaa nchini Uganda.
Majukumu mema.... Ila usitese binamu yangu.Siku njema wakuu
PamojaSiku njema wakuu