Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki na Kukumbushana

Habari Makapuku wenzangu, ni siku nyingine tena inayoishilia, yeah, ikawa asubuhi, mchana na sasa ni usiku lakini kama mnavyoijua JF na Makapuku forum, unaweza kuta kuna sehemu saa hizi ni saa mbili asubuhi watu wanapata stafutahi (hili neno linaendana na astashahada?)

Well, kuna muda unakuwa unatamani uwe tajiri sana na wakati mwingine uwe kichaa usitozwe kodi, hayo ndo maisha. Kutamani sio kosa, kosa linakuja pale unapotamani kitu kwa husuda.

Usiku huu kwenye muziki na utamu wa gitaa, sina maneno mengi sana. Nakuletea mwanamuziki maaruu kabisa wa Afro-Zouk Oliver N'Goma almaarufu Oliva Ngoma.

Wengi tunamkubuka kwa sauti yake tu bila kujua jamaa alikuwa ni mpiga gitaa mkali tu na aliwahi kufanya muziki wa reggae japo si kwa kiwango kikubwa sana maana baadaye alimezwa na kazi yake ya ukameraman hadi pale alipokutana na mkongwe Manu Lima huko paris ambapo waliandaa album iliyofanya vema na akaendelea kutoa nyimbo nzuri hadi pale alipofariki mwaka 2010. Ndo maisha.

Hebu mcheki hapa na kibao chake Adia

hadi wakti mwingine tena watu wema wa Makapuku.


Binamu asante sana nakumbuka enzi ya hii nyimbo nilikua mdogo mdogo
 
6/Glenn Miller
f138908923c2094c1001c685e8634bee.jpg

Alizaliwa Machi 1904
Alikuwa ni mwanamuziki wa Jazz na kiongozi bendi moja kubwa nchini Marekani....Moja ya vibao vyake ni In The Mood
Alitoweka Disemba 15 1944 wakati akitokea England kwenda Ufaransa kuongeza nguvu kwenye Ukombozi wa Paris
......
Huyu sikuwahi kumsikia!
 
9Richey Edwards
65bd4d625a442ddc70812c34a6ee6c39.jpg
4728c444ebfd58c7fa1ccaa5e93d8ffe.jpg

Jina lake kamili ni Richard James Edwards...alizaliwa Desemba 22 1967 huko Wales
Alikuwa ni mwimbaji na mpiga gitaa wa bendi iitwayo Manic Street Preachers
Alitoweka Feb 1 1995 wakati akienda kukutana na msanii mwenza James Dean wa MSP ili waelekee USA kwenye ziara ta promosheni
Gari lake lilipatikana likiwa limetelekezwa karibu na Severn Bridge lakini kamwe halikuweza kusaidia chochote
.........
Aisee
 
1/Joshua Slocum
4c0cdc314752c4dfba822b89ca543574.jpg
e426d90cacabb10316061618809da808.jpg

Alizaliwa Februari 1844
Alikuwa ni Mmarekani Mkanada ambaye alijihusisha na ubaharia na uandishi wa vitabu
Alitoweka November 14 1909 huko West Indies akiwa na boti yake
.
.
.
.

Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
......
Pamoja sana Mkuu, umeweza kufanikisha top 10 japo tumekushtukiza.

Pia kwa nyongeza chache, kuna D.B Cooper ambaye mpaka leo hajulikani alipo.

Camilo Cienfuegos wa Cuba ndege aliyopanda haikuwahi kuonekana tena licha ya msako mkali wa kutafuta Ndege hiyo!

Mkuu Bitoz asante!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom