Makapuku Forum

Makapuku Forum

8Jimmy Hoffa
b4d7d08130863ce3d119fa9fa2935453.jpg
74d0ea562044803f4fd2e8a722da96a9.jpg

Alizaliwa Feb 14 1913...alikuwa ni kiongozi wa Vyama vya Wafanyakazi huko Marekani
Pia alikuwa nimtunzi/mwandishi wa vitabu. ..na alikuwa ni Rais wa International Brotherhood of Teamsters (IBT}
Alitoweka July 30 1975 wakati akenda kukutana na viongozi wawili wa genge la MAFIA
Tangu hapo hajawahi kuonekana
.......
Huyu itakuwa alipotezwa na system.
 
Muziki na Kukumbushana

Habari Makapuku wenzangu, ni siku nyingine tena inayoishilia, yeah, ikawa asubuhi, mchana na sasa ni usiku lakini kama mnavyoijua JF na Makapuku forum, unaweza kuta kuna sehemu saa hizi ni saa mbili asubuhi watu wanapata stafutahi (hili neno linaendana na astashahada?)

Well, kuna muda unakuwa unatamani uwe tajiri sana na wakati mwingine uwe kichaa usitozwe kodi, hayo ndo maisha. Kutamani sio kosa, kosa linakuja pale unapotamani kitu kwa husuda.

Usiku huu kwenye muziki na utamu wa gitaa, sina maneno mengi sana. Nakuletea mwanamuziki maaruu kabisa wa Afro-Zouk Oliver N'Goma almaarufu Oliva Ngoma.

Wengi tunamkubuka kwa sauti yake tu bila kujua jamaa alikuwa ni mpiga gitaa mkali tu na aliwahi kufanya muziki wa reggae japo si kwa kiwango kikubwa sana maana baadaye alimezwa na kazi yake ya ukameraman hadi pale alipokutana na mkongwe Manu Lima huko paris ambapo waliandaa album iliyofanya vema na akaendelea kutoa nyimbo nzuri hadi pale alipofariki mwaka 2010. Ndo maisha.

Hebu mcheki hapa na kibao chake Adia

hadi wakti mwingine tena watu wema wa Makapuku.

 
Siku zote upo kiNRGATIVE
Inaonekana km una kinyongo Fulani hivi dhidi yangu
Unavizia sehemu ambayo unataka nionekane mtu mbaya
Mbona mwenyewe kanielewa vizuri tu
Au kwako "uungwana" ni nini?
Hata kumshauri mtu atafute jibu lililojitosheleza mwenyewe ni kitu kibaya?
Sitaendeleza malumbano na mtu
Acha hizo
.......
Aya yametokea wapii mkuu ??

anyway ebhu yasiendelee nawaombaa...
 
Mkuu unakumbuka hii sio mara ya kwanza kulisema hilo..
Sina kinyongo naww wala hatujawah kwaruzana popote why nikuchukie?
Kiukweli mimi jibu lako sijalipenda hope hata wengine wameona.
Siyasemi kwa ubaya haya bro..
Bitoz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom