Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Mdau tatizo muda piaNiombe kitu mdau, kila mmoja ana aina yake ya uandishi. Zipo source kadhaa zinatofautiana so, kwa hili. Ukipata muda hebu muandike huyu Cooper, una style nzuri ya kuandika na inavutia.
Well, ni jambo zuri ukiandika na ukaweka humu. Binafsi uandishi wako na suportives unanifanya nipende kusoma unapopost. Take your time buddy, hata aya tatu tu zinatunufaisha Makapuku
Mfano asubuhi namsaidia Dikteta
Mchana /jioni naleta Je Wajua?(hii rahisi ni kutupia tu picha)
Usiku 10 kubwa
Yaani muda unabana fikiria pia nachunga mbuzi
Halafu vitu ninavyoandika/kuvileta nipo interest navyo sababu napenda kujifunza
Nisingekuwa nabanwa ningeweza kuandika makala ndefundefu
Yaani hata jumamosi na jumapili km ingewezekana
.........