Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sawa kiongoz
Kuandika makala kunahitaji uwe na muda mwingi/wa kutosha

Ukimuona mtu humu JF kuandika makala kinagaubanga kuhusu jambo fulani ujue katumia muda mwingi kusoma mtandaoni na pengine vitabu kulifuatilia au kulitafiti hilo jambo
Haswa nondo za Jamii Intelligence

.
Kuhusu swali lako "nafikikiri" Alikuwa pia mwanajeshi au tu alienda km mwanajeshi wa ziada maana wakati wa vita hata raia wanakusanywa wakapigane na hata kujitolea kwenda
Mfano
Muhammad Ali algoma kupelekwa vitani Vietnam
.......
 
1/Joshua Slocum
4c0cdc314752c4dfba822b89ca543574.jpg
e426d90cacabb10316061618809da808.jpg

Alizaliwa Februari 1844
Alikuwa ni Mmarekani Mkanada ambaye alijihusisha na ubaharia na uandishi wa vitabu
Alitoweka November 14 1909 huko West Indies akiwa na boti yake
.
.
.
.

Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
......
Asante Bitoz
 
Hivi Kenedy alikufa muda mfupi baada ya kutandikwa risas au siku moja baadae?
Siku ileile
Ila ni baada ya kupelekwa hospitali na madaktari kufanya juu chini kumuokoa yaani alikufa muda mfupi tu huyu ni JFK

Kuhusu RFK yeye alikufa siku moja baada ya kupigwa risasi
Yaani kesho we(kumbuka siku mpya huanza SAA 6 Usiku)
........
 
Kuandika makala kunahitaji uwe na muda mwingi/wa kutosha

Ukimuona mtu humu JF kuandika makala kinagaubanga kuhusu jambo fulani ujue katumia muda mwingi kusoma mtandaoni na pengine vitabu kulifuatilia au kulitafiti hilo jambo
Haswa nondo za Jamii Intelligence

.
Kuhusu swali lako "nafikikiri" Alikuwa pia mwanajeshi au tu alienda km mwanajeshi wa ziada maana wakati wa vita hata raia wanakusanywa wakapigane na hata kujitolea kwenda
Mfano
Muhammad Ali algoma kupelekwa vitani Vietnam
.......
Usiofu mkuu nimekuelewa mapema...

Ila asante kwa nyongeza
 
Kuandika makala kunahitaji uwe na muda mwingi/wa kutosha

Ukimuona mtu humu JF kuandika makala kinagaubanga kuhusu jambo fulani ujue katumia muda mwingi kusoma mtandaoni na pengine vitabu kulifuatilia au kulitafiti hilo jambo
Haswa nondo za Jamii Intelligence

.
Kuhusu swali lako "nafikikiri" Alikuwa pia mwanajeshi au tu alienda km mwanajeshi wa ziada maana wakati wa vita hata raia wanakusanywa wakapigane na hata kujitolea kwenda
Mfano
Muhammad Ali algoma kupelekwa vitani Vietnam
.......

Asante sana kwa maelezo haya mazuri. Ndo tunaiita hii majibu komavu na ya kiuungwana kwa member mwenzako (utani kando).

Sure, kuandika hata jambo fupi tu la mistari mitatu ambao unataka liseleweke kwa member wote ni kazi, utafiti, kumbukumbu na kuamini unachotaka kufanya kiko sahihi. Asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom