Makapuku Forum

Makapuku Forum

1/Joshua Slocum
4c0cdc314752c4dfba822b89ca543574.jpg
e426d90cacabb10316061618809da808.jpg

Alizaliwa Februari 1844
Alikuwa ni Mmarekani Mkanada ambaye alijihusisha na ubaharia na uandishi wa vitabu
Alitoweka November 14 1909 huko West Indies akiwa na boti yake
.
.
.
.

Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
......
Asante mkuu
 
ila msukuma zamani ulikua haupo hivi kabisa hivi unakumbuka kipindi sijafunga pm tulikua tunachat sana sijui kama unakumbuka
Nakumbuka sana. Siku hizi nimezidisha utani ama? Siku zile nilikuwa siriazi sana na mambo ya hapa JF. Pia nilikuwa katika transition fulani hivi ya muhimu sana katika maisha yangu. I am more relaxed now and, I believe, a little bit more mature..and happier. I like the new me !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom