SDG
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 7,631
- 8,074
Ni Fossett10/Steve Fissett![]()
Alikuwa ni mfanyabiashara mkubwa wa Kimarekani aliyezaliwa April 22 1944
Pia alikuwa ni mwanaanga/rubani na pia mwanamaji
Alikuwa ndiye mtu wa kwanza kusafiri kivyake kuizunguka dunia mfululizo kwa kutumia air balloon
Alitoweka mnamo Sept 3 2007 wakati akikatiza anga la Nevada desert
Tangu hapo hakijawahi kuonekana kitu chochote kumuhusu
.........