Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Kaz unayooKalAla
Kaz unayooKalAla
Mke mweeee,Shululu muje muone hukuNakupendaje
siku hizi umekua wa utani utani nikikimbuka avatar yako ya eddie murphyNakumbuka sana. Siku hizi nimezidisha utani ama? Siku zile nilikuwa siriazi sana na mambo ya hapa JF. Pia nilikuwa katika transition fulani hivi ya muhimu sana katika maisha yangu. I am more relaxed now and, I believe, a little bit more mature..and happier. I like the new me !
Sijakuelewaa ...kuna mda natamani uendelee hivyo hivyo lakini ndio haiwezekani unakuwa mtu kabisa![]()
kwahiyo huyo anafanana na lew wanguShunie kazi unayo. Wivu umezidi mno dah!![]()
Niko hapa city centre hoteluko wapi kwani
hahahha mzoee tuMmeo ana vituko c mchezo
Ndioohahahha Robert Mugabe
mama mchuchu aka ma flowers
Balimibalimi au safari lager
kwani we humpendi mke mwee mbona umeogopa hivyo mjibu tu asante au utamjibu unampenda piaMke mweeee,Shululu muje muone huku
Nilimaanisha shuny sio weweMke mweeee,Shululu muje muone huku
enjoy babaNiko hapa city centre hotel
Ni shughuli nzito sanaAsante sana kwa maelezo haya mazuri. Ndo tunaiita hii majibu komavu na ya kiuungwana kwa member mwenzako (utani kando).
Sure, kuandika hata jambo fupi tu la mistari mitatu ambao unataka liseleweke kwa member wote ni kazi, utafiti, kumbukumbu na kuamini unachotaka kufanya kiko sahihi. Asante
Hujamjibu inavyotakiwa na sio jibu zuri hili ulilo mjibu..Nenda Google itakusaidia zaidi
Mimi nimeweka maelezo km nilivyoyapata hivyo kama upo interested ingia chimbo ukipata km kuna upungufu unanirekebisha au hata kujazia nyama
Kumbuka naandika ishu za watu 10 hivyo siwezi kuwa deep sana kwanza muda hautatosha kabisa
......
nakupenda mimi jamaanUsiofu mkuu nimekuelewa mapema...
Ila asante kwa nyongeza
Yaaan shuny ...kwani we humpendi mke mwee mbona umeogopa hivyo mjibu tu asante au utamjibu unampenda pia
Mkuu uko poaa ??Hujamjibu inavyotakiwa na sio jibu zuri hili ulilo mjibu..
Hebu lisome then fikiria kama ni ww umejibiwa hivyo ungepata picha ipo?
Upande wangu sijapenda kabisa.
Jaribu kubadilisha mfumo wa majibu yako mkuu
...[HASHTAG]#Mondray3017[/HASHTAG]
Mimi sasa ...nakupenda mimi jamaan
HahahaaaHahahahahaha anaitwa aje akukamate umeiba story yake