Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Looooooh shunie utanitoaa rohooo
Tuwe tunajulishana kwanza ndo ufanye maamuziii ...
Apa naongezea mlinzii
Looooooh shunie utanitoaa rohooo
Shunie ni wako huyo. Au subiri Mzee wa Kungoa aje muanze kupambana. Mimi na wake za watu wapi na wapi mkuu?
Ni typing error kwenye o ikatokea ISahihisho kidogo Madenge. Ni Steve Fosset na siyo Fisset. Isitoshe mabaki ya kindege chake kidogo yalipatikana na pamoja na nayo vipande vya mifupa ya binadamu iliyoungua. Uchunguzi wa kiforensiki ulithibitisha kuwa hiyo ilikuwa ni mifupa yake. Inasemekana kindege chake hicho kilikumbwa na dhoruba kali ya upepo injini ikashindwa kuhimili misukosuko na kikajibamiza kwenye miamba milimani. Milionea huyu ni wazi aliungua kabisa kabisa japo pia inawezekana mabaki yake ambayo hayakuteketea yaliliwa na wanyama (mf. mountain lions, tai, coyotes n.k). RIP mwanaanga na mvumbuzi Fosset...
Ila kwakweliii ....8Jimmy Hoffa![]()
![]()
Alizaliwa Feb 14 1913...alikuwa ni kiongozi wa Vyama vya Wafanyakazi huko Marekani
Pia alikuwa nimtunzi/mwandishi wa vitabu. ..na alikuwa ni Rais wa International Brotherhood of Teamsters (IBT}
Alitoweka July 30 1975 wakati akenda kukutana na viongozi wawili wa genge la MAFIA
Tangu hapo hakijawahi kuonekana hata kiatu chake tu
.......
Alafuu unanichanganyaaa....umenigawa baba
Njoo kwanzaa bossyNgoja niwahi biashara zangu maana muda ni mali
Akhaaaaa ...sijui niliandika nn .Ankooo , kwani vipi tena?
Mh!Njoo kwanzaa bossy
Rudisha avatar yangu please. Huyu Mhabeshi uliyemuweka hapa hata nusu hamfikii Shunie. Usinifanye nikaanzisha thread kabisa (kama Husna Mubausiniambie nimegaiwa bila kujijua


). Tuheshimiane please...
Nina ujumbe wakoo ...
Naungaaa mkonyooo hojaaaRudisha avatar yangu please. Huyu Mhabeshi uliyemuweka hapa hata nusu hamfikii Shunie. Usinifanye nikaanzisha thread kabisa (kama Husna Muba). Tuheshimiane please...
Nipatie bossyNina ujumbe wakoo ...
nisamehe baba d au niitoe tu nirudishe ya mwanzoLooooooh shunie utanitoaa rohooo
Tuwe tunajulishana kwanza ndo ufanye maamuziii ...
Apa naongezea mlinzii
hahahhah![]()
![]()
![]()
![]()
Huwa anakuitaa hivo lakini
Mzeee wa kungoa nilimjua mapema ila nkawin his mind now rafiki kipenzi
Akugawe wapi? Ananitega tu. Hajui Msukuma kwa sasa nipo levo zingine kabisa. Ajaribu kukugawa kwa Mzeewakungoa aone moto itakavyowaka. Watu wenye wivu wa kupindukia wana tabia hiyo. Wanatest zali halafu moto ukiwaka wanaanza kuhaha...umenigawa baba
sio msukuma wangu huwa namwita tu msukumaAlafuu unanichanganyaaa....
Si msukuma wako wa koromijee
Rudisha avatar yangu please. Huyu Mhabeshi uliyemuweka hapa hata nusu hamfikii Shunie. Usinifanye nikaanzisha thread kabisa (kama Husna Muba). Tuheshimiane please...
mmeanza hivi mnaipendea nini ile