Makapuku Forum

Makapuku Forum

1968 - Robert F. KENNEDY anafariki Dunia siku moja baada ya kupigwa risasi huko Los Angeles alipokuwa anafanya kampeni za Urais.

The Kennedy Curse:

Huu ni msemo unaorejelea Vifo tata vya wanafamilia wa Kennedy.

Wanafamilia wengi wa Ukoo wa Kennedy wamekufa vifo vyenye utata mkubwa na vya kuhuzunisha. Inaonekana kama kuna watu kadhaa nyuma ya mpango huu wa siri ambao hawakuipenda kabisa familia ya Kennedy ishike madaraka ya aina yoyote nchini Marekani.
Cc The bold
 
TOP TEN
Kama ombi la Dikteta muda asubuhi kuhusu kuwaletea watu maarufu au ambao upoteaji wao ulizua gumzo
Ni wengi sana ila nawaelezea kumi tu
Binafsi naamini watoto ndio upotea ila watu wazima upotezwa
Hivyo basi baadhi wametoweka kibahati mbaya ila wengine kuna wahalifu na serikali
Karibuni
........
Tuko pamojaa
 
Tunaisubiria mkuu!
 
habari zenu makapuku...hawa watuwamekuwa changamoto nilinunua line ya halotel nikatumiwa ujumbe huo hapo chini nikaiweka pembeni nikatafuta line ya mtandao mwingine na sasa kanitumia tena ujumbe ambao unasema hivi

+255623271817
Content:
Mjukuu Wangu Maweni haujambo ni mimi babu yako nimeludy kongo sasa yale mambo yetu yatakwenda vizuri ila ndagu niliyokupa inaonekana imekufaa vizuri maana kila kunapokucha unaongeza magari ila munachoniuzi wewe na wenzako wakina super Feo munaniletea watu nawasaidia bure wanaenda kufanikiwa hawaludy kushukuru haya vijana musione hivi wengi wanataman kuwa kama nyinyi hawajui waanze wapi kuwen makni na masheriti dawa ile ya kuvuta wateja kwenye hotel kama mwanzo nimekuja nayo ni hatali nilivyoitengeneza mwagize kijana aje achukue nipigie nikuelekeze vizuri
Time: 06/06/2017 11:21:49
Matapeli
 
Ipeleke jukwaa la matangazo mkuu. Huku siyo mahala pake japo umeiweka kijanja sana. Pathetic!
 
10/Steve Fossett
80f181424a3093ea4da85b8a8ecae7d6.jpg

Alikuwa ni mfanyabiashara mkubwa wa Kimarekani aliyezaliwa April 22 1944
Pia alikuwa ni mwanaanga/rubani na pia mwanamaji
Alikuwa ndiye mtu wa kwanza kusafiri kivyake kuizunguka dunia mfululizo kwa kutumia air balloon
Alitoweka mnamo Sept 3 2007 wakati akikatiza anga la Nevada desert

.........
 
10/Steve Fissett

Tangu hapo hakijawahi kuonekana kitu chochote kumuhusu
.........
Kuna miujiza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom