Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Umegomeshaanimecheka kwa sauti [emoji2] [emoji2]
Umegomeshaanimecheka kwa sauti [emoji2] [emoji2]
Hausahauukwahiyo hiyo lini sasa jamaan lee wangu kuna siku alikua anaiulizia
Karibuujamani makapuku nawasalimu.......
Bhinamu unamjuaa fika aunt yakoNi huyu huyu unayemjua wewe, muulize vizuri. Maana alitokomezwa na alipoonekana tayari tumeshaanua matanga. Ikabidi tu atulie ndo kumpata cheusi (hii ni kabla hajakupata wewe)
Happy nakupa historia, mambo ya zamani sio ya sasa usijefanya ishu ukanigombanisha na anko wangu
Ata mm simuelewiii bhinamuhivi binamuuu we una mpango gani wa mimi na mjomba ako hivi ninavyokulalamikia kwako burudani kabisa
Kiroho safii bhinamuUmejibu kiungwana sana mjomba, kudos. Hata kama ulichojibiwa sounded so offensive
Ha ahhahahaha, mimi na soka la bongo mbalimbali labda Simba tu ipewe ubingwa wake na FIFA
Ahaaaaah mwehu wewendio mana nampenda sana baba d jamaan Mungu azidi kuniwekea binamu kuna mda anakua binadamu kabisa kama sio yeye [emoji8]
[emoji3] [emoji3] haya ukifungua backesho nafunga sitakiii
Umenikumbusha jina langu japo babu alikuwa halipendiiiiHapana hata kidogo usinielewe vibaya. Nimesema tena kwa msisitizo kuwa hii ni story ya zamani mno enzi hizo mjomba angu tunamuita Robert Mugabe
Verbal abuse mhh....Ahaaaaah mwehu wewe
Nipo mimi
Unataka nin mke ??Biashara gan na ucku huu aganza
Wew ujue huyo akitoa ya moyon analahan kabisabinamu nia yako mm na mjomba wako tugombane utashindana hautashinda sina imani na ww kabisa binamu
[emoji3] [emoji3] saaImetengemaa, nashukuru kwa kuiharibu, wewe unajua kabisa hizi saa za funguo zinanishindaga kurekebisha, acha hizo bhana
Nlikuwa chimbo[emoji3] [emoji3]Na wewe umetoka wapiii
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Unaona sasa, yaani makosa anafanya anko mzigo naangushiwa Mimi. Yaani ni kama kufiwa nifiwe mimi rambirambi anapokea anko
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Biashara za usiku huzijui? Well, kuna za kijasiriamali na kijasiliamwili sasa iliyo maarufu muda huu ni ya pili. Hapo usiku kuna polisi, wakora na wafanyabiachura
Tunaliwait ..naomba nidhamini bia 3Makapuku, baada tu ya Bitoz kumaliza top 10 tujiandae kupata burudani