Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,567
- 60,124
Tumzingatie labda yuko ughaibuniNyuzi zipo kama 40 yeye ndio anatukurupua, kila media ni habari hii comments milioni, jamaa ndio anatusanua muda huuš
Tumzingatie labda yuko ughaibuniNyuzi zipo kama 40 yeye ndio anatukurupua, kila media ni habari hii comments milioni, jamaa ndio anatusanua muda huuš
Pliiz,show as some Kebo acha kelele mingi!***** kama kawaida yako unawa kufirw@ tu muda wote
Ila amefanya maamuzi makubwa magumu, yaani alichokusudia ni kuwa Hataki hata Uteuzi, kwasababu amesema amestaafu Siasa pamoja na Utumishi wa Umma, Daaahš¤£Nachofurahi ni kwamba hii taarifa tayari itakuwa imefika Ukonga na kesho pale High Court tutarajie lolote. Lissu anaweza akaibuka na hii kama alivyofanya kwa Mbowe.
Hahaha
Karibu sana!Nimealikwa November lakini bado niponipo.
Ana shida zake za kujirudiarudiaMtu anajiuzulu kwa sababu Kasema tunahitaji katiba mpya. Mapambano yaendelee
Kasi ya Samia ni kubwa sana kwendana nayo. Watanganyika ugali umetuumiza sana. Tunafikiria polepole sana.BAKWATA watafurahi sana. Ni kutesa kwa zamu
Ilikuwa ni suala la mda tuu ,ufukuzwe au ustaafu Kwa hiari walau Kwa Heshima kidogo.
Sasa ni zamu yake kuamua kwenda upinzani au kukaa kimya.
Huwezi kwenda kinyume na chama chako na boss wako harafu wakuchekee.
Midomo yetu imetuletea hasara za kutosha.Hapa Ackson Tulia angelamba uteuzi ila alivyoachwa solemba , alijiongelesha sana ! Mafumbo kila siku šš roho ilimuuma alikosa subira !
Sijui nani anapewa kijiti hapa.
Mi pia.Mimi nisinge toka
Pumzika kwa amani che Guevara
Barua inaonesha amesitaafu masuala ya siasa, utumishi, na utawala kwa ujumla. Alafu anahudhuria vipi tena shughuli za kisiasa!Hivi akijiuzuru hata nafasi ndani ya chama anavuliwa ! Au mikutano ya chama atakua anahudhuria kama kawaida