Hili ndio swali ninalojiuliza na pia ni hatari ninayaiona iwapo hilo litatokea japo hatuombei ila tusisahai kifo ni wakati wowote na kws yoyote.
NB: Kama yuko kwenye depression na ana magonjwa ya kiutu uzima kama vile pressure au kisukari, basi risk inaongezeka na hii ni hatari zaidi...
Kama na sisi tunaweza kumfanya makamu wa Rais ajiuzulu kwa amani kabisa ni dalili kuwa na sisi tumepevuka. Mambo kama haya hayapatikani sana nchi za Afrika bali Ulaya, NKorea, Japan na nchi nyingine za mbele huko. Pale Uingereza ndani ya miaka 10 wamejiuzulu viongozi wao wakuu zaidi ya 4...
Siwezi kuamini hata kidogo kuwa barua ya kujiuzulu inayodaiwa kuandikwa na Dr. Nchimbi ni kweli imeandikwa na Nchimbi mwenyewe. Kama kuna mwenye ushahidi kuwa ni kweli yeye ndie mwandishi wa barua hiyo atuletee.
Soma Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu
Tunaweza kuelewa Dr. Nchimbi...
Wale wawili, kwa sababu walikuwa jikoni, wakijua uharamia ambao ulikuwa ukipangwa dhidi ya wananzengo, mapema kabisa waliamua kujiweka mbali. Makamu aliamua kuachia ngazi. Kiranja wa mawaziri licha ya kutangaza kuwa angegombea tena, baada ya kujua kilichokuwa kikipangwa, aliamua kujiweka mbali...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.