Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,615
- 6,347
Wala hamna hajaAmteue Mzamzibari mwenzake ili Watanganyika wakandamizwe zaidi
Kuna watanganyika kibao mazezeta wako tayari kukandamiza wenzao
Wala hamna hajaAmteue Mzamzibari mwenzake ili Watanganyika wakandamizwe zaidi
Sababu ni hiiNchimbi amewasaliti watu waliomchagua.
Hapa wataenda kupewa makamu wa rais wa kuteuliwa wakati mtu aliyechaguliwa kajiuzulu na hata sababu hajatoa.
Alishatuaga," alisema tukomae tupate katiba mpya"asiondoke kwanza mpka tupate katiba na yeye awe miongoni mwa wapambanaji
Mabalozi Mmetuthibitishia kwa vitendo Uzalendo wenu kwa taifa letu Mungu awabariki,na wale wasio Wazalendo bado kwa taifa Mungu awaangazie watambue thamani ya Uzalendo kwa taifaMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.
Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.
Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.
View attachment 3656524
Yale yale ya LowassaSasa Nchimbi nenda kapambane Lissu atoke tukadai katiba mpya kwa pamoja ..
Alafu urudi chadema uwe makamu wa Raisi Lissu mwaka 3035 atakapokuwa Raisi wa Tanganyika ..
Hivi wajua ukijadiliana na taahira basi wewe unakuwa ndio TAARIFA+Wewe ni taahira,Unadhani una akili kuliko wote. Bila shaka UVCCM.
Wewe ulisema Nchimbi kujiuzulu kamwe haiwezekani, haya kiko wapi sasaNguvu ya Rais ni kubwa Mkuu.
Kauli yake ni amri.
Huwezi shindana naye kwa waziwazi labda kama umeamua kushindwa.
Hii inaitwa aibu utaona baadaeSikuhizi ukimiliki smartphone Tu unakuwa mchambuzi wa siasa....
Hii barua yako ya darasa la nne nenda nayo Facebook
Sasa akitangulia futi sita akaja mwingine mhafidhina kuliko yeye huoni kuwa hujabadilisha kitu hapo, na pengine hata umeharibu zaidi?Amechaguliwa na nani?
Kwenye yale mauaji ya ndugu zetu au nani alimchangua?
Acha waparuane tena hakutakiwa kujiuzulu ilibidi atangulizwe futi sita aje mwingine
THe catholic empireCcm is very proud kutawala mazezeta kama wewe.
Condom ziliwekwa kuzuia mimba zisizotarajiwa kama wewe.
Baba yako angekuwa na skili paketi moja tu ya condom angeliokowa Taifa kutyletea kijana asiyekuwa na mchango wowote just like you.
Mh!Uko nyuma ya muda amka nchi ina kasi sana
The Roman empireMpango naye benchi plus mauaji kwenye uchaguzi mwaka jana. Hakika tuna dikteta kamili.
Inasikitisha sana taifa linavyochezewa huku wananchi wakizidi kutaabika
Abstract my nigga, abstract.Kwahiyo 2025 palikuwa na uchaguzi?