Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Ni sawa na kusema iko siku wamerekani wataacha kumheshimu George Washington na Abraham Lincolin.

Huu umoja tulionao ni kwasababu ya falsafa za Nyerere. Kama sio umoja wetu huu ambao mizizi yake imezama chini sana vurugu za Oct 29 zingeshatusambaratisha vibaya sana. Watz tunaongea lugha moja, tunanunua maduka yaleyale, tunatibiwa zahanati zilezile na watoto wanasoma shule zilezile bila kujali kabila, dini wala chama cha siasa unachoshabikia.
Akili mgando
 
Kuwa na akili timamu mzee baba. Kwamba mtu akiheshimiwa ndio awe untouchable?. Kuheshimiwa ataendelea kuheshimiwa, lakini ile status yake ya untouchable alipewa ndio inaenda kupotea.

Watu watahoji matendo yake, kauli zake, uongozi wake, sera zake, mapungufu yake n.k Leo hii ukimwambia dogo wa gen z kuhusu muungano mwambie kuhusu muundo wake, ufanyaji kazi wake na faida zake akuelewe. Sio kumwambia akubaliane tu na muungano kwa sababu uliwekwa na Nyerere
 
Maana trust no one suspect anybody

Kama si hila tu kwa SAVIMBI nahisi na MBOMO atawekwa pembeni kwa kuwa Kama una share Siri za miezi mingi nyuma ina Maana nawe unahusika

Britanicca
Code ya leo itakuwa kila mtu kaijuwa maana ni nyepesi sana
 
Back
Top Bottom