Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Kwani nyie hamuwezi kutoa uhai? Watu milioni sabini wote mmekosa hata sniper mmoja awatoe kimasomaso?

Watu wanauawa kama kuku, aliyetoa amri anasema nguvu iliyotumika ni sawa tu, halafu nchi inaendelea tu kama hakujatokea kitu, wewe unaona sawa hapo?

Hili ni tusi kwa Watanzania wote.

Anahitajika angalau mtu mmoja tu ajitoe muhanga kurudisha heshima ya nchi.
🤣😅
 
Hilo Liuaji kama limeua watu kibao ili liwe hapo sio la kuchezea, kukuua ni kugusa tu, sidhani kama ni lijitu la kawaida, uongozi wake unanuka damu tangu liingie , liliingia kwa kuua, pia likaua, na linaendelea kuua, ni kuwa makini nalo.
 
25 August 2026

DK. LWAITAMA - NCHMBI SIYO MTU WA KUJIUZULU, LAZIMA ATOKE MUBASHARA SIYO KUTUMIA MITANDAO YA MAANDISHI YA AI


More questions than answers:

1787669604341.jpeg


NCHIMBI HAS NOT RESIGNED, OTHERWISE HE SHOULD COME IN PUBLIC AND EXPLAIN HIMSELF” - DR. LWAITAMA


View: https://m.youtube.com/watch?v=4Vc3ZKOxnEY
Following reports of Tanzanian Vice President Emmanuel Nchimbi writing a letter to President Samia Saluhu Hassan resigning from his post, the move has sparked mixed opinions from various people including scholars and political analysts in Tanzania, saying it is still difficult to confirm whether the leader has truly resigned from the position until he comes out in public in front of journalists to announce the move.

The difficulty for people to believe that Nchimbi has resigned is due to the state of political development and that hacking issues have currently become widespread.

N.B
Dr. Azaveri Lwaitama is retired Senior Lecturer in Communication Skills in English, Education, Linguistics and Philosophy of the University Dar es Salaam, Tanzania
 
Nchimbi nilimjua kama vijana wa Serikali waliondaliwa kushika dola ila naona safari yake ilikuwa inaishia hapa.
 
Huku Nchimbi, mwizi yuko Uganda
 

Attachments

  • 3AF3CC38-7B7C-4A4B-8049-3304AD44236B.jpeg
    3AF3CC38-7B7C-4A4B-8049-3304AD44236B.jpeg
    311.6 KB · Views: 8
  • IMG_7503.jpeg
    IMG_7503.jpeg
    326.1 KB · Views: 8
AJABU
KWANGU
LEO simuoni
Mwashamba na mwenzie Tlaatlaah mbona kimya ?
JE
Walikuwa Team Emmanuel
Nchimbi

Au watakuja muda mwafaka??
Mkuu hao wanaangalia nani atakua kwenye nafasi ya kuwapa makombo ili wam-support, yaani hao ni kama Tupak wa-switch na beat linavyokuja, hata zikipigwa beat mbili kwa mpigo ni kucheza nazo humo humo..
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.

Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.

Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.

Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.

Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.

View attachment 3656524
Mimi Ninatabiri Rais Wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan atamchaguwa Mmojawapo kati ya hawa 4 Kuwa Makamu wake wa Rais.
1) Ridhwani Kikwete
2) Paul Makonda
3)Mwigulu Nchemba
4) Palamagamba Kabudi
Je unasemaje???? Toa maoni usilete Kashfa au matusi.
 
Hatua moja mbele, walau sasa naweza kuona kuna uzito kwa Emmanuel sidhani kama alishatokea makamu wa rais akajiuzulu ila Nchimbi kwa hili nampa heko kama nilivyosema mwanzo.

Sasa ni muda wa kuyaeleza yale yote machafu aliyoyaona akiwa ndani [japo hawezi kutaja yote sababu ya kiapo cha kudumu].

Ila kwa kiasi fulani amejitenga na damu za October 29.

NB: Kwanini barua haina anwani pia?

Au ndio yale yale ya barua kama ya Ndugai.
Ila pia mbona mpaka sasa hakuna tamko jingine lolote lile toka kwa bosi wake au chama chake?

Au kwa nini Nchimbi hakutoa video ya kutangaza kujuuzulu kwake?

Hii barua ni rahisi sana mtu kuikana…..anywho, ngoja tusubiri tuone.
 
Back
Top Bottom