Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Wewe na wenzako mnaoitakia mema Tanganyika mliopo kwenye system kwanini msikae mbele kuokoa Taifa?
Kwa nini wasitafute hata wafadhili wakawa toa nje the wakatoe madudu yote? Then sisi kama watanzania tuta wa appreciate na atakuwa mwanzo wa Tanzania 🇹🇿 tunavyo ihitaji. Maana kinacho tokea hapa ni kama msondongoma tu. Tunachoreshana na kuvimbiana kuwekeana codes za yale yanayo endelea nyuma ya pazia
 
Hawa sometimes ukute ndo ugali wao, kuchezewa watz na drama. Maana hata hichi haja anza leo, kila mwaka zikitokea sekeseke, anaanza kucheza hii michezo.

Na wamatumbi walivyo washamba wanajaa asilimia Mia.
 
Motive yake ni ipi
To fool you..km vile anawapa maangalizo vipande vipande ili apime ujinga wenu ulipo na mpumbazike na hivyo vitaarifa uchwara..wakat havina msaada wowote..mtu mwema huwa anaelekeza ku-counter attack hila anazojua zinafanyika.
 
Maana trust no one suspect anybody

Kama si hila tu kwa SAVIMBI nahisi na MBOMO atawekwa pembeni kwa kuwa Kama una share Siri za miezi mingi nyuma ina Maana nawe unahusika


Britanicca
Hili nimeshaliandika kwenye Uzi wako kuwa MBOMO ATAMALIZWA, Hakuna urafiki katika USALITI

Pia mbinu hii aliitumia sana Stalin kujiimarisha
 
Back
Top Bottom