Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.

Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.

Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.

Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.

Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.

View attachment 3656524
Imekaa njema sana ,Nchimbi ni mmoja tu.
 
Ahaa Kidogo Mimi nilianza kwq kununua Acoustic kisha Electrical guitar baadae...ni mtu wa kanisani muda mwingi nahudhuria ibada zote nikajiunga na Team na kwaya kadhaa huku nikijfunza zaidi mpaka ikawa ndo maisha kila mara unaitwa kufanya sehemu mpaka sasa harusi dinner binafsi za watu nk

kama una pesa ya ziada nunua Bass Guitar na Combo yake
ingia youtube pata basic knowledge baada ya hapo ulimwengu wa mziki utakuvuta tu
Kwa hapo Dar kuna Any school inafundisha hizi mambo?
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.

Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.

Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.

Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.

Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.

View attachment 3656524
Haa haa yuda eskariote
 
Mkuu hii barua mbona fonts ni tofauti? Is it
 
She is the Chosen no matter what

Hatimaye wamemtoa kafara, hiking chama kina collapse soon hii resignation ya emma inaweza kuleta mpasuko au friction kubwa kwenye chama, tusubiri tuone 2030 bado mbali sana
Ila kuna kundi la watu hapa Tanganyika ni wavumilivu na wapole, mpaka wanakera.

Angalia:- Kijazi chini. Mfugale chini. Jenista chini. Mkapa chini. Polepole chini. Ndugulile chini. Mafuru chini. Magufuli chini. Ndugai chini. Lukuvi chini, daaah nk nk.
 
Kuna tatizo na hatari kubwa sana kwa huyu mama. Magufuli kafariki akiwa naye, Nchimbi kajiuzulu, Ndugai kajiuzulu, Tulia kajiuzulu, Polepole katekwa. Mauaji ya kutisha Hapa usalama wa Taifa uko unabunga
Mkuu hapa hoja si Usalama . Hoja ni masilahi mapana! Elewa masilahi mapana.. hata hao ukiwataja mstari ulipovukwa watu wakaangalia mzani wakajua tu ni bora fedheha kuliko hasara..
 
Back
Top Bottom