kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,039
- 17,392
Nchimbi ndiye mtu wa kwanza kabisa kwenye mkutano mkuu wa CCM aliyeanzisha wimbo wa "Tunaimani na Lowassa" kupinga uteuzi wa Magufuli kuwa mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM. Nchimbi alikuwa hamtaki Magufuli kabisa akimtaka rafiki yake Lowassa awe Rais hata kama wanaCCM wanzake walikuwa wanasema Lowassa alikuwa na tuhuma nyingi za ufisadi kwenye sakata la Richmond. Hata Mwl. Nyerere alimkataaga Lowassa kuwa Rais kwasababu ya ufisadi.Nchimbi is a man with integrity. Wahuni wanazidi kuivuruga Tanzania.
Aliyempendekeza Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa CCM na hatimaye Makamu wa Rais alipitiwa tu.