Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,905
- 19,687
Afu kua serious, unajua hapa tunasomwa na watu wazito wazito, usiniharibie CV tasavališTena wewe na mada zako za kunuka makwapa hata usitoe sauti kabisaš
Afu kua serious, unajua hapa tunasomwa na watu wazito wazito, usiniharibie CV tasavališTena wewe na mada zako za kunuka makwapa hata usitoe sauti kabisaš
Inashangaza sana....Kulikuwa kuna sababu gani kusitisha leseni ya gazeti la Mwanahalisi kama linachimbua habari za ndani kabisa? ona sasa yametimia yaliyokuwa yanaandikwa na gazeti hilo la habari za siasa/uchunguzi wa ndani
Bi Aisha hujui kitu,nenda kale pilau tuu wewe.Hajalazimishwa
Unajichanganya, kilichoshinda ni chama, ukijiuzuru umakamu bado chama chako kina haki ya kupeleka jina lingine kwa spika ili bunge likuidhinishe kuwa makamu mpya.Samia awe amechaguliwa na rais?
Let's make this simpke.
Achana na Nchimbi, achana na Samia, achana na CCM, achana na uhalali wa uchaguzi. Ondoa controversial subjects, tujadili mfumo wenyewe tu.
Tuuangakie mfumo wa uchaguzi wa Tanzania in the abstract.
Makamu wa Rais na Rais wote wanachaguliwa pamoja, kwenye tiketi moja, siku moja, kama wabia, na kuna watu wanaipigia kura tiketi hiyo kwa sababu ya mgombea u Makamu wa Rais, wala si kwa sababu ya mgombea u Rais.
This is packaged deal, huwezi kumoata mmoja bika mwingine.
Unakubali?
Kaogopa kupotezwa na Ibilisi Samia.Ha ha ha
Sasa kwani ushauri ni lazima kuupokea.?
John ameamua kustaafu siasa kwani shida iko wapi hapo
mnataka kusema CCM haitatikisika, kwamba ni mlima Sayuni usiotikisika? kujiuzuli kwa Nchimbi kuna athari kubwa kwa CCM mjuba, Hii inaweza kupelekea hata Rais kulazimika naye kujiuzulu katika hali fulani ya kisiasa nchini. Msichukulie poa mkaona mbona Kenya naibu rais alilazimishwa kujiuzulu na rais wake akaendelea na siasa zake freshu mpaka sasa anadunda tu kana kwamba hakuna athari kwenye siasa zake za kenya kuelekea uchaguzi wao ujao. Hapa CCM imekanyaga miwaya sijui itajinasua vipi, mambo ni mengiMkuu Loth Hema unajipa matumaini hewa na inaonekana husemi Trends za kisiasa za Tanzania.
TZ ni zaidi ya uijuavyo
kwani Rais hakumaliza muda wake?Usipitoshe.. Makamu wa kwanza hakujiuzulu.. Alimaliza mda wake, akaomba asiendelee.
Typing error.Samia awe amechaguliwa na rais?
Naam.Let's make this simpke.
Achana na Nchimbi, achana na Samia, achana na CCM, achana na uhalali wa uchaguzi. Ondoa controversial subjects, tujadili mfumo wenyewe tu.
Huo ndo ukweli wenyewe.Tuuangakie mfumo wa uchaguzi wa Tanzania in the abstract.
Makamu wa Rais na Rais wote wanachaguliwa pamoja, kwenye tiketi moja, siku moja, kama wabia, na kuna watu wanaipigia kura tiketi hiyo kwa sababu ya mgombea u Makamu wa Rais, wala si kwa sababu ya mgombea u Rais.
Hapo sasa ndipo kilipo kitendawili.This is packaged deal, huwezi kumoata mmoja bika mwingine.
Nakubali.Unakubali?
Na sekta ya habari pia.Double agent ni wengi mno kwenye hili Taifa hasa kwenye ulingo wa Siasa
Mpango, nchimbi, majariwa, tulia, ndugai........ Mwenye D2 utanielewaNa astaafu sasa,akileta taarabu tu anakutanishwa LIVE na yule bwana wa "unaijua viete wewe"š
Makamu wawili wanaingia mitini,itakuwa shughuli pevu kufanya kazi naye!!
" Viongozi wetu na Hatima ya Tanganyika".
Anaweza kuwa kakataa kujiuzulu ila mfumo ukafanya yake.Nchimbi kukubali kijiuzulu, wakati kachaguliwa na wananchi, ni ujinga mkubwa sana.
Namna pekee nitakayomuelewa ni labda kama kaogopa watamuua tu.
Na hata hiyo alitakiwa hata kukimbilia nje na kusema, si kujiuzulu kifala hivi.
Hilo gazeti lilerejeshewe leseni yake, linaandika ukweliInashangaza sana....
Huwezi kufunika Moshi kwa kutumia mikono.
Nani amekueleza hivyo gwajima au?Samia anatuharibia nchi kmmk wallah
Kila anaetofautiana nae anataka kumuua
Watu kama nyie bado mko dunia ya zamani sana..Kumbe kweli Nchimbi Ni mwanetu hajatoka kufanya kazi na wahujumu Nchi Safi Sana Nchimbiš„¹š„¹š„¹
Kuna saa nawaza hii idara ya usalama wa taifa hawawezi kuzua kitu kama hiki?
Hawako mbele ya muda kuona kiongozi huyu anafaa apewe nafasi na huyu hafai wasipewe nafasi.
Why kila siku migogoro ya kiutawala na ya kimamlaka ?
Lini sasa taifa litakaa tayari kwaajili ya kufocus kwenye maendeleo ya jumla ?
Tutabaki kila mara migogoro mpaka lini,na tahamaki 2030 hio hapo!