Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Walimchagua?
Ulikuwepo Tz Wakati wa uchaguzi.
Yeye mwenyew anajua kuwa hakuchaguliwa
Wewe 7nafahamu kitu kinaitwa fikra dhahania?

Unaelew akauki abstract kuwa kikatiba makamu wa rais wa Tanzania anachagukiw ana watu na hivuo akikomaa haondolewi kiboya?

Unaelewa hesabu za "let x be y" zinazotumika kama njia ya ku solve simultaneous equation?
 
Kwasasa Aende akapumzike nje ya nchi. Atulize Kichwa.

Mfumo unaomlinda Raisi ni Mkubwa sana.
Sidhani kama anaweza kupata kibali cha kwenda kupumzika (kuishi) nje ya nchi.
Hivi vyeo vina mambo mengi mkuu.
Maisha ya furaha atayapata akiwa ndani ya nchi, akifurahia kiinua mgongo chake kwa amani.
Rejea maisha aliyo pitia mzee Aboud Jumbe baada kuondolewa kwenye nafasi kama hiyo.
 
Sasa akitangulia futi sita akaja mwingine mhafidhina kuliko yeye huoni kuwa hujabadilisha kitu hapo, na pengine hata umeharibu zaidi?

Mpaka sasa kama hupendi uongozi huu hujaelewa kuwa tatizo ni mfumo, tatizo si mtu mmoja?

Umeandika kama mtu anayetafuta kisasi kwa kuwa emotional, si mtu anayepanga mkakati wa kubadili mfumo wote wa utawala wa CCM.
Namaanisha waendelee kuuana huko ndani maana kwa sasa mabadiliko kutoka nje hayafanyi kazi, inabidi waparuane wauane mpaka wao wenyewe huko ndani waitishe mabadiliko
 
Samia hatambui kuwa ,,,Huku ku resign kwa viongozi wake waandamizi , Kuna mchafua yeye mwenyewe! ...(Job Ndugai, Philip Mpango, Majaliwa) Sasa Makamu wake Nchimbi!

Nchimbi ni presidential material plz tunaomba asife kama Ndugai, ee Mungu tusaidie kwa hili tu sisi Watanganyika.
Huyo Mama hatotawala kwa amani miaka yake iliyobakia, kwa leo ngoja niweke kituo hapa...
 
Anasema Samia alitamani kubadilisha makamu wake
Samia kutamani si sababu. Kwa sababu Nchimbi on paper kachaguliwa na Watanzania, si Samia.

Hiyu si Waziri Mkuu aliyeteuliwa na Rais tu. Huyu alikuw amgombea mwenza kachagukiwa kwenye the same ticket na Samia, if you believe Samia kachaguliwa.

Yani, for the sake of argument tukikubali kuwa wamechaguliwa even for a logical discussion tu (otherwise there is no point discussing Nchimbi kujiuzulu) Samia na Nchimbi wote wamechaguliwa pamoja, a packaged deal. Nchimbi alikuwa running mate.

Sasa kwa nini Nchimbi ajiuzulu kwa sababu Samia katamani tu?
 
IMG-20260825-WA0011.jpg

Hizi ni salamu ambazo zimepelekea Nchimbi kuandika barua ya leo.
 
Samia kutamani si sababu. Kwa sababu Nchimbi on paper kachaguliwa na Watanzania, si Samia.

Yani, for tge sake of argument tukikubali kuwa wanechaguliwa (otherwise there is no point discussing Nchimbi kujiuzulu) Samia na Nchimbi wote wamechagukiwa pamoja, a packaged deal.

Sasa kwa nini Nchimbi ajiuzulu kwa sababu Samia katamani tu?
Hujui uongozi wa nchi hii!!!!!! Samia alipewa na CCM mtu wa kumsaidia! Aliyekuwa anaomba kura ni Samia. Ni kura za Rais si kura za Rais na Makamu wake ujue
 
Back
Top Bottom