Wangejua mzigo wa kuwahudumia hawa wastaafu bora wangevumiliana hadi wamalize kipindi chao pamojaNaam nafahamu ila dah!! Wanalichezea sana Taifa
Hata mimi nimetoka kusema kitu hicho hicho.Nchimbi kukubali kijiuzulu, wakati kachaguliwa na wananchi, ni ujinga mkubwa sana.
Katiba inampa uhuru na wananchi wanajua hilo.Nchimbi kukubali kijiuzulu, wakati kachaguliwa na wananchi, ni ujinga mkubwa sana.
Roho Ya Lissu ikamiminike kwenye vizazi vingine vijavyo. Kwenye taifa la watu milioni 70 ukiwa na kina Lissu 50 tu nchi inakombolewa.Kwahiyo Mwanahalisi lifunguliwe walichoreport ndio ukweli wenyewe.
Lisu Mungu ambariki sana, ndiye Mtanzania pekee ameamuwa kusimama kwenye kweli bila kuyumba.
Ni kwasababu nguvu ya mamlaka hanakwanini wakati alisema tudai katiba, au yeye sio mtanganyika na katiba haimuhusu?
Double agent ni wengi mno kwenye hili Taifa hasa kwenye ulingo wa SiasaSema hata hivyo siwezi kushangaa.
Sijawahi kumuamini yule jamaa.
🤔Ni kwasababu nguvu ya mamlaka hana
Wasingefanya kitu kuliko sasa ndo atakua uchi zaidi.Hata mimi nimetoka kusema kitu hicho hicho.
Ila najua mazingira yaliyomkuta hayakuwa ya kawaida.
Pengine outcome ya kugomea hilo shinikizo lingeenda kuleta madhara kwa familia yake.
Mbele ya interest zao Hilo hakuna umuhimu Kodi situnalipa wananchi 😂Wangejua mzigo wa kuwahudumia hawa wastaafu bora wangevumiliana hadi wamalize kipindi chao pamoja
Unajua Makamu wa Rais mstaafu anakula mshahara wa 80% ya Mshahara wa Makamu wa Rais aliyeko madarakani
Sasa wahesabu waliopo hao hadi sasa, unagundua wage bill invyozidi kupaa kwaajili ya maSiasa yao ya kutovumiliana
Kwenye ndoa zetu wenyewe tunapigana na kufumaniana Kila siku lakini maisha yanaendelea, hakuna kuachana, ndiyo wao na Siasa zao washindwe kuvumiliana
"Omukago" kiswahili chake sina. Hili neno nililipata kule Ziwa Magharibi. Wanasema hii kitu haivunjiki.Ana uwezo wa kukata
Wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani.Double agent ni wengi mno kwenye hili Taifa hasa kwenye ulingo wa Siasa
Waache wauaneMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.
Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.
Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.
View attachment 3656524