Huyu aliye Mponda Lowasa baadae akamsafisha, Labda Mnyika.Tz Hii Mwanaume ni Lissu Tu, Acha kuongea maneno yasiyo kuwa na maana Kwenye Jukwaa hili, Cap fit ndio nini?
Nimekumbuka Lile Beat lake na melody Kali Sana ya Wimbo huu.Small Axe
Song by Bob Marley ‧ 1973
View attachment 3656532
Overview
Lyrics
Why boasteth thyself
Oh, evil men
Playing smart
And not being clever? Oh no
I said, you're working iniquity
To achieve vanity, yeah (if a-so a-so)
But the goodness of Jah, Jah
I-dureth forever
If you are the big tree
We are the small axe
Sharpened to cut you down (well sharp)
Ready to cut you down
These are the words
Of my master, keep on tellin' me
No weak heart
Shall prosper, oh no they can't!
And whosoever diggeth a pit, Lord
Shall fall in it, shall fall in it
Whosoever diggeth a pit
Shall bury in it, shall bury in it
If you are the big tree
We are the small axe
Sharpened to cut you down
Ready to cut you down
And whosoever diggeth a pit
Shall fall in it, fall in it
And whosoever diggeth a pit
Shall bury in it, shall bury in it
If you are the big, big tree
We have a small axe
Ready to cut you down (well sharp)
Sharpened to cut you down
If you are the big tree, let me tell you this
We are the small axe
Ready to cut you down (well sharp)
Sharpened to cut you down
If you are the big tree
We are the small axe
Kaka hakuna jambo baya sana kama mapinduzi yanapofeli. Kila shimo litafukuliwa, kila jiwe litapinduliwa na kila kichaka kitafyekwa kuona kilichomo.Kumbe Wangoni hatubabaishwi na mambo madogo kama madaraka.
Wakati anatoa ile kauli alikuwa ameshaamua kuachana na hii serikali. Hata Tulia nae aliamua kuachana kabisa na ukaribu kwa Samia akaondoa mpaka jina lake kwenye uspika na aligoma hata kuhudhuria uapisho wake ila akalazimishwa.Umeunganisha doti kiintelijensia sana! Kumbuka hata ile kauli yake ya nyuma kuhusu katiba mpya ilivyoleta mtikisiko. Lazima kuna trap ilitegwa na mshkaji akaingia mzima mzima mzima.
Ukiangalia kwa jicho la tatu, utagundua kabisa kuwa mchezo ulichezwa kimkakati sana. Hakuna kiongozi wa ngazi hiyo anayeachia ngazi kirahisi hivyo nchini kwetu bila kushikwa pabaya. Security threats au hata tishio la kuchafuliwa vibaya kisiasa lazima vilikuwepo mezani, naona kabisa aliamua kupiga hesabu za haraka akaona it's not worth the fight.
Sasa akiwa nje ya huo mfumo ndo hatari zaidi aisee japo naona kesi yake ni kama ilivyokua kwa Job Ndugai ...yule Mbunge wa Znz aliyemuita yuda ndo maana alikua na iiburi aisee.Dear, sasa km mfumo haumtaki au haoni ukiendana nao, kaamua ajiengue mapemaa.
Nlkua namheshimu huyu jamaa ni moja ya watu wapumbavu zaidi jamii forumJamaa unatapatapa sana,kuna sehem umawadharau wanaoamini kujiuzulu kwa nchimbi lakini muda unavyokwenda nimeanza kuona wewe ndiye unapaswa kudharauliwa
Nchimbi kidume..tena kidume haswa
| .PICHA TOKA MAKTABA : |
![]() |
| Balozi Dkt. Nchimbi na Mama Balozi Jane Nchimbi, wakisindikizwa Mara baada ya kumaliza kuwasikisha hati za Utambulisho kwa Rais |
Bado sana muda wowote wakitaka kumjenista watafanya hivyo .Amshukuru Mungu wamemwachia uhai.
HuiMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.
Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.
Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.
View attachment 3656524
Hii ni kama Ndungai....hii barua hajaandika Nchimbi! Uhai wake ndio bye bye!Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.
Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.
Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.
View attachment 3656524
Wanawake wana changamoto ya kupanick harakaKufanya kazi na Samia kunahitaji moyo. Ni mtu sijui niseme hana akili! Huwa ana maamuzi ya hovyo sana.
She is the Chosen no matter whatSamia anazidi kushinda tu.
Unajua maana ya Collective responsibility? Aliyemleta Lowassa CHADEMA ni Mbowe.Huyu aliye Mponda Lowasa baadae akamsafisha, Labda Mnyika.
Ni ama ajiunge na kina mizengo pinda, kassim majaliwa, nzabayanga akson tulia AU AUNGANISHWE KWA LAZIMA NA POLEPOLE, NDUGAI, MEMBE MAGUFULI N.KMwanzo nilijua ni uzushi na kwamba wana tuset tutoke kwenye focus.
Sasa Nchimbi anaenda kuwa kama Polepole. Rai yangu achukue precautions zote kwasababu mapambano nje ya mfumo bila security sio rahisi.
Rais mmoja makamu wake wawili wamejiuzulu then uniambie mambo yako sawa?Kwamba amechagua heshima? Uongo