Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 3,993
- 5,130
Hebu rudia tena kuisoma hiyo barua Taratibu(read between the lines).Sababu ya kujiuzulu
Hebu rudia tena kuisoma hiyo barua Taratibu(read between the lines).Sababu ya kujiuzulu
Hana madhara huyo kwa timu zanzibarNasubiri pia Lameki Nchemba ni swala la muda tu
Mwana halisiGazeti lipi hilo?
Angesimamia maamuzi yake kama kiongoziUlitakaje?
Hii Ina uhusiano Gani na kifo kujiuzulu kwa Nchimbi?View attachment 3656573
Hizi ni salamu ambazo zimepelekea Nchimbi kuandika barua ya leo.
Ni kweli ila "Naapa kutotoa siri za serekali" 🤔Nchimbi kukubali kijiuzulu, wakati kachaguliwa na wananchi, ni ujinga mkubwa sana.
Namna pekee nitakayomuelewa ni labda kama kaogopa watamuua tu.
Na hata hiyo alitakiwa hata kukimbilia nje na kusema, si kujiuzulu kifala hivi.
Makamu wa Rais ni zaidi ya msaidizi wa Rais.Nini hujui???? Yeye ni Msaidizi wa Rais hata PM! Ndiyo maana huwa wanaweka suti maofisini mwao maana anytime Rais anaweza kukutuma popote. Hivyo kama amekuchoka atakuondoa tu
Nadhani itafika mahali watajua walikuwa hawajui.Shibuda mwenye kuna kipindi kashikiwa Bango kujihudhulu kayumba yumba mwisho kaachia ngazi
nchi ngumu sana mjue✍️
AlisemaMzee mwenzangu Britannica aliyaandika haya kabla.
Nchimbi hajachaguliwa na wananchi, alichaguliwa na ccm ndipo wananchi mkampigia kura kwa mgongo wa samia.Nchimbi kukubali kijiuzulu, wakati kachaguliwa na wananchi, ni ujinga mkubwa sana.
Namna pekee nitakayomuelewa ni labda kama kaogopa watamuua tu.
Na hata hiyo alitakiwa hata kukimbilia nje na kusema, si kujiuzulu kifala hivi.n
Manyonyo makubwa ndie kiongozi wa ovyo kuwahi kutokea kwenye hii nchi tangu dunia iumbwe, hata wakoloni Wajerumani wa Waingereza hawakuwa wapumbavu hivi.
Siri za sirikali 😂😂Ni kweli ila "Naapa kutotoa siri za serekali" 🤔
cc Erythrocyte.,Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.
Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.
Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.
View attachment 3656524
Kuhoji Lissu alimsafishaje Lowassa ishakuwa ni mahaba?Kipindi cha Mbowe tuliwaambia nyinyi ni nyumbu huwa mnamahaba binafsi na watu. Lissu ni mzuri kwa sasa lakini sio hana madudu