Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Anaachiwa huru Lissu, 2030 CCM wanamsimamisha Nchimbi, Raia wanakatika mauno, namba ni ileile raia waisome! Puuumbavu!
Sidhani kama wananchi wa Tanzania wanashida sana na vyama. Wanachagua wanachagua mtu na sio vyama. Ni mjinga tu ndie ataamini kuwa kila aliye chadema ni msafi na kila aliye ccm ni mbaya. Na kwa taarifa yako bora hata ccm wanaozoefu kidogo wa mambo wanaweza kuingia hao wengine ndio kila kitu kikaharibika.
 
Jee ufisadi wa Lowassa unakumbuka CHADEMA kwenye ile list of shame iliyotolewa na Dr. Slaa ulikuwa unahusiana na nini?

CHADEMA kusema Lowassa ashtakiwe walikuwa wanatega mtego ambao CCM hawakuingia... Kuna mengi huyajui.
Mistake kubwa kufanya chadema ni kumpokea Lowasa, chadema ilijipambanua kama wapinga ufisadi toka wampokee Lowasa sera yao ikahamia kwenye demokrasia. 2015 chadema na wao walikuwa wanagawa rushwa hadharani, wanajaza matenk ya boda boda nk.
 
Bado sana muda wowote wakitaka kumjenista watafanya hivyo .
Ngumu, nchimbi anaweza akawa ni kete ya kuwapotezea wananchi mwelekeo.

Huenda soon atajiunga ACT au kuanzisha chama chake kwa vyovyote kwangu nchimbi ataendelea kua tapeli kama matapeli wengine "fisadi pro max"


Nchimbi ana Uchu wa Madaraka sababu iliyopelekea kutafuta sifa ili apendwe na watu kama tiketi wa kuwania uraisi

Iwapo nchimbi atashinda uchaguzi ujao kwa kuiba kura atakua anakubalika na watu wengi kuliko samia hii Itakua faida Kwa matapeli wenzake kuendelea kulinda maslahi yao.
 
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, amemwandikia Rais Samia Suluhu Hassan, barua ya kujiuzulu wadhifa huo, miezi michache baada ya kutoa kauli mbalimbali zenye utata.

Kabla ya taarifa hiyo, Dk Nchimbi kwa nyakati tofauti amekuwa akiibua kauli zinazoleta utata, ikiwemo ile aliyowataka Watanzania wapambane kuipata Katiba Mpya, ilhali ajenda hiyo tayari ilishawekewa utaratibu ndani ya chama chake cha CCM na hata kuwa katika Ilani ya chama hicho.

Kauli hiyo iliibua sintofahamu hata ndani ya CCM. Mwenyekiti wa Wazazi Taifa, Fadhili Maganya, aliijibu kwa kuhoji, anayewashinikiza Watanzania wapambane kupata Katiba Mpya, anataka wapambane na nani?

Sambamba na kauli ya Maganya, Mbunge kupitia Baraza la Wawakilishi, Mohamed Simai Said, aliwahi kusema ndani ya Serikali kuna kiongozi msaliti akimwita ‘Yuda’ kwa kile alichosisitiza, anakinzana na mwelekeo na dhamira ya Serikali.

Mienendo hiyo, ilimwibua Mwanasiasa mkongwe, John Shibuda ambaye Agosti 23, 2026 alizungumza na vyombo vya habari, akimsihi Dk Nchimbi ajiuzulu kutokana na mwenendo wake unaokwenda kinyume na mwelekeo wa Serikali

Dk Nchimbi ametoa taarifa ya kuandika barua ya kujiuzulu na kusambaza katika kurasa za mitandao yake ya kijamii leo, Agosti 25, 2026.

Katika barua yake, ameandika atajiuzulu wadhifa huo kuanzia Septemba 4, 2026 akimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan na wananchi kwa kipindi alichoongoza.View attachment 3656596
Wewe ni chawa tu fala wewe, mwanaume na pumb zako unamsifia muuaji, fala na mbwa wewe. Mpumbavu muuaji wewe.
 
Nchimbi ni mpenda haki, asingeweza anaongoza huku raia wanateswa!
Mauaji yale hayawezi mpendeza mtu yeyote mwenye akili timamu.

Nje ya mada; Nchimbi ni kiongozi ambaye hapendeki sababu anapendda haki. Magufuli alimkimbiza kumficha kwenye ubalozi huko.
Hakuna kitu kama hicho nchimbi ni opportunistic tu, labda anauafadhali
 
Back
Top Bottom