IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,875
- 7,515
Mzee wa Jalalani. It is high time to prove how stupid you are by accepting the vacancy...
Prove it
Prove it
Wakuu,we have a problem!Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.
Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.
Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.
View attachment 3656524
Mpishi ni signal ama ?Ndo hii alitabiri nabii britanicca au tuendelee kusubiri!
Kumsafisha pia alitumwa na Mbowe!?Unajua maana ya Collective responsibility? Aliyemleta Lowassa CHADEMA ni Mbowe.
Rumors ni nyingi mjini, ngoja tuone nani atawekwa paleKwamba Mbowe ndio ata replace hiyo nafasi?
Kazi ipoMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.
Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.
Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.
View attachment 3656524
Sasa kama ni "sehemu" ya duara hilo afanyaje?vacancy...
Kila Mwanadamu atakufa muda wake ukifika na kwa mapenzi ya MunguIla kuna kundi la watu hapa Tanganyika ni wavumilivu na wapole, mpaka wanakera.
Angalia:- Kijazi chini. Mfugale chini. Jenista chini. Mkapa chini. Polepole chini. Ndugulile chini. Mafuru chini. Magufuli chini. Ndugai chini. Lukuvi chini, daaah nk nk.
nchi imeshikiliwa na ZanzibarIla kuna kundi la watu hapa Tanganyika ni wavumilivu na wapole, mpaka wanakera.
Angalia:- Kijazi chini. Mfugale chini. Jenista chini. Mkapa chini. Polepole chini. Ndugulile chini. Mafuru chini. Magufuli chini. Ndugai chini. Lukuvi chini, daaah nk nk.
Amejiridhisha pasi na shaka Rais hamtaki (Anatamani mabadiriko)Sababu ya kujiuzulu
Nchimbi kukubali kijiuzulu, wakati kachaguliwa na wananchi, ni ujinga mkubwa sana.Chini ya mtutu wa bunduko ama kwa ridhaa yake?
Huyu sio mteule wa Rais, huyu alipogiwa kura na wananchi. Tunataka uchaguzi uitishwe upya
Inaendelea, ipo tayari!Kazi ipo
Sema hata hivyo siwezi kushangaa.Rumors ni nyingi mjini, ngoja tuone nani atawekwa pale
Wengine wanasema Mzee wa Kilosa, Profesa Kabudi
AlisemajeNdo hii alitabiri nabii britanicca au tuendelee kusubiri!
Hii ni kutoka dawatiWho the cap fit....👇
Ana uwezo wa kukataSasa kama ni "sehemu" ya duara hilo afanyaje?
Kwahiyo Mwanahalisi lifunguliwe walichoreport ndio ukweli wenyewe.Sounds Familiar